Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Hawa jamaa ni wana morali hatari hawakusubiri kuambiwa waingie vitani ilikuwaje wakaelewana na urusi
Putin aliwaruhusu wajitenge wawe jamhuri inayojitegemea ya kiislamu na wajiongoze kwa Sharia.

Ni sawa na waislamu was bongo waseme wao wanahitaji waishi peke Yao eneo la maalum, kwa sheria zao.
wasijichanganye na raia wengine.
 
Nimeipata na hii ya ung'eng'e muda huu.
Ramzan Kadyrov: The civilian population of Ukraine needs protection. And the Chechen special forces, led by my dear BROTHER Hussein Mezhidov, are doing an excellent job with this task.

Civilians were settled in basements for the sake of their own safety, in case of shelling of residential areas by Bandera. Every day, fighters make rounds, asking what they need. Food products are supplied, as well as sweets for children to somehow brighten up military everyday life. There are many elderly and sick people among the refugees. They are supplied with all the necessary medicines.

Russian servicemen do not fight civilians. These people became victims of political intrigues and conspiracies of the West with the Ukrainian leadership against Russia.

Once again I appeal to the Armed Forces of Ukraine: this is not your war! Look how Russian military personnel protect the civilian population - the enemy does not behave like that. Our enemies are Bandera and nationalists, those who drive wedges between two fraternal states. Let's protect civilians together and squeeze out Bandera!

Nalog off
 
Wasalimu amri ili kupata nini?. Wapige mabomu ya kushtukiza ili iweje?. Ili kupata nini?. Wanatafuta nini walichokiiba ukrain?. Wakisalimu amri ni ushindi ksbb zipi?. Huyo nae ni pimbi tu,anajua kabisa yeye anakuwa mstari mwingine usioshambuliwa. Wanaokufa ni wengine. Hii vita isiyo na maana yoyote tayari mchokozi kashapoteza wanajeshi wake zaidi ya 600,bila sababu yoyote. Hao sio kidogo
 
Nimeipata na hii ya ung'eng'e muda huu.
Ramzan Kadyrov: The civilian population of Ukraine needs protection. And the Chechen special forces, led by my dear BROTHER Hussein Mezhidov, are doing an excellent job with this task.

Civilians were settled in basements for the sake of their own safety, in case of shelling of residential areas by Bandera. Every day, fighters make rounds, asking what they need. Food products are supplied, as well as sweets for children to somehow brighten up military everyday life. There are many elderly and sick people among the refugees. They are supplied with all the necessary medicines.

Russian servicemen do not fight civilians. These people became victims of political intrigues and conspiracies of the West with the Ukrainian leadership against Russia.

Once again I appeal to the Armed Forces of Ukraine: this is not your war! Look how Russian military personnel protect the civilian population - the enemy does not behave like that. Our enemies are Bandera and nationalists, those who drive wedges between two fraternal states. Let's protect civilians together and squeeze out Bandera!

Nalog off
Mkuu ngoja tuwawekee na link ya habari hiyo, wasije kusema ni maneno yako.

Yaani wewe waleta stori za tv wakati mie ninakuwekea habari ya toka Reuters, au Reuters inamilikiwa na Russia?

Haya nakuongezea na taarifa hii toka FAO uone kama Russia ina njaa kama Tanzania

View attachment 2139216
Hiyo habari ya kugawa chakula ni ya kutoka TV ya russia hata CNN wali " quote" ukibisha tutakuwekea hapa.
Au vipi ile script iliyosomwa Umoja wa Mataifa mazungumzo ya askari wa kirusi na Mama yake kabla hajapigwa risasi na ma sniper wa Ukrain. Kifupi anasema walidanganywa waliambiwa mazoezi tu wakajikuta wako vitani.

Na ile Helicopter ya KA-52 warusi waliilinganisha na Apache ya US zimetunguliwa na Ukrain mpaka china aliyetaka kuzinunua ameziponda sana wanasema bora kumbe za kwao.

Halafu hayo mambo ya njaa kali kwa Askari yamepatikana baada ya ma Hacker wa nchi mbalimbali kunasa mazungumzo ya askari wa urussi kibao toka vita vianze wakiongea a kupanga mipango ya vita, ndio mara dizeli na msosi wameishiwa wanajadili. Sasa watu walidhani jeshi super power kama urussi vipi mazungumzo yananswe kirahisi mpaka meja jenerali mmoja akauawa sababu sniper alijua anakuja na helikopta. Hii ni vita ya David na Goliath. Putin anasota sanampaka huyo jamaa kauona msoto anataka kumsaidia.

Labda atumie zile mbinu za Syria kuoiga mabomu mtaa kwa mtaa sambaratisha mpaka paka na mbwa.

Ukweli ni kwamba wa Chechnya wapo wanapigana toka muda tu. Kumbe putin ni kujimwambafai sana na nuklia. Nuklia hata india wanazo nchi ambayo inasemekana raia wengi hawana vyoo.

Ila ikifikia vita ya mitaani mano to mano bado US Marines ni moto wa kuotea na huwezi nasa mazungumzo yao.

Wala hawavai nguo za jeshi za adui kama wanavyofanya warusi kuogopa kichapo.

Putin atashinda hatimae ila atavuliwa nguo zote
 
Chai ya usiku wa manane yenye viungo vya mkurungu.
 
Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.

Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.

Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).

Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.

View attachment 2139106

======

March 4, 2022

A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.

Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses

In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.

‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…

‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.

He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.

‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.

‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.

‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.

‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.

Eh! Yobah! Yobah! Yobah! Yobah!
 
Je tutrajie pendekezo lake kufanyiwa kazi baada ya temporary ceasefire?
 
Urusi ipi waizungumzia? Ya Buza au ya Kremlin?

Kama ya Kremli utasubiri sana aisee...

Juzi tu Urusi imegawa msaada wa chakula tani 30 (kg 30,000) kwa raia wa Ukrain halafu ishindwe kuwalisha wanajeshi wake (Russia) walio kwenye majukumu mazito ya kulinda usalama wa nchi (Urusi). Utakuwa hauko siriaz mkuu

View attachment 2139168
Yaani wanawaua alafu wanawapa chakula
 
Yaani wanawaua alafu wanawapa chakula
Tageti ni wanajeshi wa Ukraine na miundombinu ya kijeshi. Ila raia wakidanganywa kupewa silaha (pichani) kujipima na majeshi ya Super Power Russia, wanabutuliwa pia. Lawama iende kwa aliyewatuma
images (1).jpeg
images.jpeg
 
Back
Top Bottom