Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.

Wanamisimamo mikali sana Hawa, na wanachukia sana ubepari na wamarekani kuliko kitu chochote kile.

Ndo Maana putin alivyotangaza kuivamia Ukraine, Hawa walivaa gwanda wakatangulia vitani Moja kwa moja Bila hata kumjulisha Putin

Mbele ya Safar ndo barua ikamfikia Putin kua wanamunga mkono
Tupunguze propaganda zilikuwa na maana, yaani walienda kujumuika na askari wa Urusi bila Urusi kujua ni watu gani??
 
Walimnyooosha Sana kipind wakitaka kujitenga na kutumia Sharia kujiongoza, akawahofia misimamo mikali kumletea magaidi Russia.

Walimsumbua sana putin mwishowe akaona awaachie waishi wanavyotaka wao kwa mfumo wa Sharia.

Na sahv wamekua jamii inayojitegemea kabisa, wanakiongoz wao na Wanampenda Sana Putin Kama godfather wao kuwapa uhuru.

Kule chechniya,
-Ukikutwa na MKE wa mtu unapigwa mawe unauwawa, na putin wala haingilii

-ukiiba unakatwa mkono, na Putin wala haingilii.

Kule Ni marufuku kufungua kanisa,Ni misikiti TU.
Ukiona watu bado wanapigana mawe mpaka kufa kutokana na mila na tamaduni za Jangwani za miaka mingi iliyopita, basi jua umekutana na ambao bado hawajitambui.
 
Vita iishe ndani ya masaa 48 kutoka kwa tik tokers kwi kwi kwi
 
Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.

Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.

Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).

Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.

View attachment 2139106

======

March 4, 2022

A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.

Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses

In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.

‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…

‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.


He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.

‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.

‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.

‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.

‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.


Kwahiyo hili ombi putin alikataa au aliwaruhusu?
 
Back
Top Bottom