the sameAchana na kwa mujibu wa Biden..wewe kwa mujibu wako unaonaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the sameAchana na kwa mujibu wa Biden..wewe kwa mujibu wako unaonaje??
wewe unawashwa nini ?Ikishageuka jangwa itakuongezea kipato au cheo?
Ukraine Ikigeuka jangwa, wewe nini kitaongezeka katika maisha yako?wewe unawashwa nini ?
aje nimkune sasa ...Anawashwa kuona wewe ni mweupe kichwani
na hata ikiwa salama hakuna kitakachoongezeka katika maisha yanguUkraine Ikigeuka jangwa, wewe nini kitaongezeka katika maisha yako?
hivyo ndio unaona ni muhimu sana katika maisha ?Ikishageuka jangwa itakuongezea kipato au cheo?
Tumia akili usiendeshwe na hisia, Ukraine ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedororana hata ikiwa salama hakuna kitakachoongezeka katika maisha yangu
si wanaabudu USA&NATO ? acha wanyooshwe pimbi hao
natumia map...mbu yako kufikir.Tumia akili usiendeshwe na hisia
Huyo Ukraine ambaye unataka liwe jangwa ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedorora.natumia map...mbu yako kufikir.
unataka niwe na akili kama zako ndio ujue nina akili ?
moja ya ujinga mkubwa katika maisha ni kuamini kua bila flan maisha hayawezi kwenda ...Huyo Ukraine ambaye unataka liwe jangwa ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedorora.
Kama ni hivyo nenda ukaishi porini peke yako bila uhusiano na mtumoja ya ujinga mkubwa katika maisha ni kuamini kua bila flan maisha hayawezi kwenda ...
kwa nini niishi porini wakati Mungu kapanga niishi mjini ?😀Kama ni hivyo nenda ukaishi porini peke yako bila uhusiano na mtu
na zinanitosha sana na na enjoy maisha kinoma nomaUsitumie mapumbu ya huyo jamaa kufikiri mke wangu. Ni kweli akili zako ni finyu. Ila zitumie tu
Na walimuonyesha joto ya jiwe kwel hawa watu.Walimpiga haswaaaaa mpaka akachanganyikiwa PutinHawa Putin walimuonyeshaga joto ya jiwe. Sema sasa eti wamekuwa marafiki na Putin.
Yan ni hiviii, ile late 90's putin anaukwaa urais mpaka 2000s huko hawa jamaa walimpiga mtungo Putin mpaka akil ilimkaa sawa.Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.
Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.
Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k
Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.
Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
Mikwara hiyoMshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.
Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.
Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).
Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.
View attachment 2139106
======
March 4, 2022
A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.
Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses
In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.
‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…
‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.
He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.
‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.
‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.
‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.
‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kichapo kilichotembezwa, maswahiba tayari wameanza kutukanana, eti NATO ni madhaifu mnoooo! Huyo ndiyo ze Comedian Zelensky
View attachment 2139661