Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Zote ni republic ambazo zipo zote ndani ya urusi
Hawa watu wenye asili ya Dagestan ni wapiganaji wazuri sana hasa kwenye Wrestling..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote ni republic ambazo zipo zote ndani ya urusi
[emoji1][emoji1]Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.
Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.
Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k
Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.
Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
Nikisema ni Jamhuri nitakuwa sijakosea.Lile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
Hawa watu Wana shule maalumu za kujifunza mapigano Toka wako shule ya msingi na zinafadhiliwa na serikari.Hawa watu wenye asili ya Dagestan ni wapiganaji wazuri sana hasa kwenye Wrestling..
kijana naona mara ya pili hii umeshikilia masheikh wa kibongo wanamshobokea PutinLile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
Ana mori kuliko mwenye vita yake...Rebeca 83 umenichekesha kweli Mkuu,
Huyo jamaa yaonekana vita imo damuni mwake, yaani keshanunua ugomvi wa jirani ili akatoe dozi
Kwa habari ya hapo chini, si ni mrusi tu huyu?Nimeshangaa sana aisee, yaani huyu jamaa ni Head wa Jamhuri ya Chechnya, lakini anaenda vitani! Tena hasubiri kuombwa! Nakubaliana nawe mkuu huo ni mzuka wa ajabu aisee
View attachment 2139188
Jamaa kafilisika hoja, anataka kuingiza udini ili kutengeneza chuki dhidi ya Putin😀😀😀Nikisema ni Jamhuri nitakuwa sijakosea.
Urusi sio Taifa la dini Moja.
Jamhuri kama Dagestan,
Chechen,
Bashkortostan,
Tartarstan
Ni sehemu zenye Waislamu wengi na pia ni Warusi,
hivi wajir ikitaka kujitenga na Kenya ikalazimika kutumia nguvu kuirudisha na Tena ikajaza extremists Muslim, tuseme Kenya inapigana na Waislamu.
Lakini pia zipo Jamhuri zenye wabudha wengi zaidi.
Na zipo zenye wakristo wengi zaidi.
Lipo Jimbo lenye Wayaudi wengi na linaitwa JEWS AUTONOMOUS REGION.
Hivyo vita ya Chechnya haiusiani na Uislamu na Waislam
Yap ni mrusi na ni mchechen kama ilivyoandikwaKwa habari ya hapo chini, si ni mrusi tu huyu?
Subiri nita upload humu video inayosambaa kwenye mitandao ya Whatsapp, anatia huruma.kijana naona mara ya pili hii umeshikilia masheikh wa kibongo wanamshobokea Putin
hebu tupe ushahidi wa uyasemayo jpo sheikh mmoja tuu
Sasa mbona waislamu walipiga makelele kwenye hivyo vita, ila Putin huwa namkubali sana kwenye vita dhidi ya magaidi, yeye huwa habembelelezi, hupiga bila kuchagua wapi anapiga.Nikisema ni Jamhuri nitakuwa sijakosea.
Urusi sio Taifa la dini Moja.
Jamhuri kama Dagestan,
Chechen,
Bashkortostan,
Tartarstan
Ni sehemu zenye Waislamu wengi na pia ni Warusi,
hivi wajir ikitaka kujitenga na Kenya ikalazimika kutumia nguvu kuirudisha na Tena ikajaza extremists Muslim, tuseme Kenya inapigana na Waislamu.
Lakini pia zipo Jamhuri zenye wabudha wengi zaidi.
Na zipo zenye wakristo wengi zaidi.
Lipo Jimbo lenye Wayaudi wengi na linaitwa JEWS AUTONOMOUS REGION.
Hivyo vita ya Chechnya haiusiani na Uislamu na Waislam
Ikishageuka jangwa itakuongezea kipato au cheo?yaani mimi naombea Ukrain ipigwe mpaka ibaki jangwa ***** ...
Putin alisema ataingia Ukraine kwa operation maalumu. Hiyo operation ni ya kijeshi. Niambie ndugu, hiyo operation inaitwaje na malengo yake ni yapi?Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden
Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu
Wataelewa tuMkuu ngoja tuwawekee na link ya habari hiyo, wasije kusema ni maneno yako.
![]()
Putin said about the actions of the Armed Forces of Ukraine in Mariupol that “normal people don’t do that” - Oops Top
Vladimir Putin. © Igor Ivanko / Moskva Agency Russian President Vladimir Putin, commenting on the actions of the Ukrainian armed forces that mined hospital facilities in Mariupol, said that "normal people don't do that." The words of the head of state are quoted by TASS.As reported by...oopstop.com
Kuna hotuba ipo You tube wakati Putin anaitangazia Taifa lake na dunia kwa ujumla na maazimio ya kuingia Ukraine na haswa sababu zilizopelekea ni zipi na lengo lake ni lipi!Ikishageuka jangwa itakuongezea kipato au cheo?
Eenh.. Naona Myebusi umekuja Kivingine🤣🤣Mkaldayo
Yes na ule Mji wao wa Grozny ni moja ya Majiji mazuri sana Russia yaani umejengwa vkzjri sana mwa sasa huwezi amini mama ulibomolewa kwa VitaWalimnyooosha Sana kipind wakitaka kujitenga na kutumia Sharia kujiongoza, akawahofia misimamo mikali kumletea magaidi Russia.
Walimsumbua sana putin mwishowe akaona awaachie waishi wanavyotaka wao kwa mfumo wa Sharia.
Na sahv wamekua jamii inayojitegemea kabisa, wanakiongoz wao na Wanampenda Sana Putin Kama godfather wao kuwapa uhuru.
Kule chechniya,
-Ukikutwa na MKE wa mtu unapigwa mawe unauwawa, na putin wala haingilii
-ukiiba unakatwa mkono, na Putin wala haingilii.
Kule Ni marufuku kufungua kanisa,Ni misikiti TU.
Achana na kwa mujibu wa Biden..wewe kwa mujibu wako unaonaje??Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden
Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu