Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Kwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
Ok basi aongeze namna ya kupambana na Hezbollah ila naamini atashinda vizuri
 
Unazungumzia vita hii ya makombora, risasi na maguruneti au neno vita umetumia kama fasihi?
 
Hezbollah hana ubavu wowote wa kuishinda Israel.
Kuna vita inakuja muda si mrefu ambapo russia akiwa na turkey, iran na mataifa mengine ya kiarabu na ya afrika kaskazini yatapambana na Israel na still yatashindwa tena vibaya mno na ndo anguko la russia itatokea.
Haya ninayoandika najua wengi sana hapa JF watakejeli.
 
Hicho nilichoandika si kila mtu anaweza elewa wewe ukiwa mmojawapo ila aidha uwe hai au umekufa upo kuzimu au peponi kitakapotokea taarifa utazipata.
 
Russia Turkey na Iran ukiongeza na mataifa ya afrika kaskazini kama Egypt na Algeria ni mataifa yenye nguvu sana
Israel atashinda vipi hiyo vita kubwa sana maana hata number zinakataa
 
GAZA kwani Isreal anasaidiwa na nani?
 
Russia Turkey na Iran ukiongeza na mataifa ya afrika kaskazini kama Egypt na Algeria ni mataifa yenye nguvu sana
Israel atashinda vipi hiyo vita kubwa sana maana hata number zinakataa
Hicho nilichoandika akili ya mwanadamu haiwezi elewa ila naomba Mungu akuweke hai ujionee uzuri si miaka mingi itatokea hiyo vita
 
Hicho nilichoandika si kila mtu anaweza elewa wewe ukiwa mmojawapo ila aidha uwe hai au umekufa upo kuzimu au peponi kitakapotokea taarifa utazipata.
Dunia ina mengi. Kila la heri taswira ya ufahamu wako ijongeapo!
 
Hicho nilichoandika akili ya mwanadamu haiwezi elewa ila naomba Mungu akuweke hai ujionee uzuri si miaka mingi itatokea hiyo vita
Basi sawa ngoja tungoje tuone itakuwaje wakati ukifika hizi geo politics ni ngumu sana ndio maana naona wale Saudia na UAE wanajiepusha nazo sana na kuendelea na mambo Yao
 
Kwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
Amka uliko lala israel hii waziri wake mkuu analilia kwa nini msaada wa silaha toka usa haujafika hadi leo wee tulia hizbullah anaingia mzigoni huku bado kuna frontline nyingine zimetulia kuna msyria pale na myemen na muiraq bado sana kazi ipo .
 
Naangalia namna nchi mbali mbali zitakavyotia mafuta kwenye kibatari cha hezbula..

Pindi upepo utakapo vuma sijui nan atakuwa tayari kuzinga kibatari kisizime.

kibatari kikizimika mwanga utakuwa kitu adhimu sana
 
Back
Top Bottom