Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nimesoma taarifa mahali leo inasema Msemaji wa jeshi la Mayahudi ndugu Daniel Hagari amekiri wazi kuiangamiza Hamas ni ndoto ya mchana.
Maana ni vigumu kuitenganisha na mioyo ya Wapalestina walio wengi! Na ameishauri serikali yake ikubali tu kubadilishana mateka na wafungwa.
Ukijumlisha na makombora yanayorushwa kila siku kutoka Lebanon kiasi cha kusababisha Mayahudi zaidi ya laki moja kuyakimbia makazi yao! na tishio kali kutoka kwa kwa hao Hezbollah kupitia zile clip zao zinazoonesha maeneo yote nyeti ya Mayahudi! Ukimjulisha na ile dhoruba inayofanywa na Wahouth! Bado wale jamaa wa Syria na Iraqi! Shinikizo la Kimataifa!
Aisee Mayahudi pamoja na kaka yao Marekani wana wakati mgumu. Wakubali tu kushindwa. Maana hawana uwezo wa kupambana na Hezbollah pamoja na hao Hamas.