FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hiyo ni plan yao na Wamarekani lakini safari hii watashindwa vibaya sana.Kuna videos zimerekodiwa kutumia drones ambazo zinaonyesha maeneo ya Israel ndani kabisa hadi kwenye kambi za majeshi nk.
Hilo ndo limewakasirisha Israel ambao wameshapitisha plan ya “All out war” kwamba muda wowote you wanaweza kuivamia Lebanon kuwashambulia Hezbollah.
Mmarekani, NATO na mazayuni hawaiwezi "all out war", wao wanategemea ndge za kivita na missiles zao.
Watu washasomea kutoka kwa Afghanistan namna ya kujihami nazo na namna ya kuwatandika. Mamrekani na NATO yote wameshindwa kuwazuia Taliban, ambacho walikiita kikundi cha ugaidi. Wametandikwa na sasa hicho walichokiita kikundi cha magaidi ndiyo kimeishka Afghanistan.
Sitoshangaa miaka michache ijayo vikundi vinavyoitwa vya kigaidi ndivyo vikaiteketeza ngome ya mazayuni na kuikomboiwa ghaza na Al Quds.
Harufu na hisia za ushindi zipo wazi kwa sasa.