Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Unaweza ukaharibikiwa akili kwa kusoma na kumamini utopolo kama wa huyu jamaa. Na Hapo humwambii kitu 😂😂
Achana nae huyo kazoea kuwaambia kondoo wa bwana, akafikiri kila mtu ni wa rahisi tu.
 
Vita ni mbaya sana

Ubaya hao wengine hawawezi jilinda, Israel anaweza jilinda
 
israel ni taifa teule la Mungu Mkuu

Mungu gani ambaye anataka watu wafe waende motoni bila kumjua yeye Mungu mkuu wa kweli.
Mimi naamini zama zinabadilika na maagizo ya Mungu yanabadilika kama unaona kifo Cha mtoto mwenye ualbino huko Kagera kinakuuma kwanini vifo vya watoto wa Gaza havikuumi! Ni Mungu gani huyo basi ynayemuabudu?
 
Ona huyu naye anaongea nini!?
1947 Palestina ilikubali kugawana ardhi na Israel,na Jerusalem wakapewa Israel kama wanavyotaka.
1948 wakaanzisha expansion na kuwaambia waarabu waende Misri kuna ardhi kubwa wanaohangaike na ya pale.
Usisahau kuwa Israel alivamia mpaka Misri na Syria akitaka kuongeza ardhi.
Itakua mtoto wa juzi hujui ugomvi wa hao jamaa.
Anayetaka ardhi yote ni Israel sio Palestina.
Waambie ndugu zako waachane akili ya kuwafuta Jewish, nia kubwa ya Hamasa na Islamic militant ni destruction of Israel then replace with Islamic state
 
Who rejected two state solution
The Arab Higher Committee, the Arab League and other Arab leaders and governments rejected it on the basis that Arabs formed a two-thirds majority and owned a majority of the lands.

Two-state solution - Wikipedia​

1718934880055.png
wikipedia.org
 
Waambie ndugu zako waachane akili ya kuwafuta Jewish, nia kubwa ya Hamasa na Islamic militant ni destruction of Israel then replace with Islamic state
Huna ulijualo,nia hiyo ni ya Israel.
Nafuatilia huu mzozo toka 1946.
 
Who rejected two state solution
The Arab Higher Committee, the Arab League and other Arab leaders and governments rejected it on the basis that Arabs formed a two-thirds majority and owned a majority of the lands.

Two-state solution - Wikipedia

View attachment 3021889
wikipedia.org
Unaleta story za Wikipedia!?
Humo si hata mimi nachapisha!?
Hiyo si kama Quora tu!?
Kamfuatilie Yasser Arafat kwanza halafu utajua nani alikataa two state solution na nani alianza expansion of territory.
 
hawa ndio watu wa kazi sasa, onyo kapewa mpaka Cyprus , nawapa tahadhari huyu Hezbollah sio Hamas huyu, hapa Israel atapata maumivu makali sana , ndio maana Biden ametuma mtu wake haraka sana Lebanon kuzungumza ma spika wa bunge wa lebanon , ambaye ni mshirika wa Hezbollah
Screenshot_20240928_052222_Samsung Internet.jpg
 
Siku si nyingi mtasikia na ya Ayatollah. Tena bomu lake litawekwa kwenye Nzi.
 
hawa ndio watu wa kazi sasa, onyo kapewa mpaka Cyprus , nawapa tahadhari huyu Hezbollah sio Hamas huyu, hapa Israel atapata maumivu makali sana , ndio maana Biden ametuma mtu wake haraka sana Lebanon kuzungumza ma spika wa bunge wa lebanon , ambaye ni mshirika wa Hezbollah
Mtu kazi wako chali. Hezbollah ni kama wahuni wa mtaani bora hata Hamas walijitutumua
 
Bado tunajadili kuhusu Mazayuni?. Kwa namna Hezbollah wanavyofukunyuliwa kwenye mashimo utasema panya pori
 
Back
Top Bottom