magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Wazungu sio Waarabu mzee. Warabu si unaona hapo Palestina mwenzao anatembezewa mkong'oto yanakenua tu yanaangalia. Nenda kaiguse nchi yoyote ya Ulaya uone Wazungu wanavyokushukia kama mwewe.inamaana Cyprus itumike kuipiga Lebanon wao wachekewe?
Au ndugu sema kweli katika ukuaji wako ni lini umesikia nchi kutoka nje ya Ulaya imeshambulia mwanachama wa Ulaya. Unahisi hawapendi?
Hezbollah ataishia kupiga mikwara tu na siku atayojaribu kuishambulia Cyprus ndio itakua mwisho wake.