Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Unaweza ukaharibikiwa akili kwa kusoma na kumamini utopolo kama wa huyu jamaa. Na Hapo humwambii kitu πŸ˜‚πŸ˜‚
Achana nae huyo kazoea kuwaambia kondoo wa bwana, akafikiri kila mtu ni wa rahisi tu.
 
Vita ni mbaya sana

Ubaya hao wengine hawawezi jilinda, Israel anaweza jilinda
 
israel ni taifa teule la Mungu Mkuu

Mungu gani ambaye anataka watu wafe waende motoni bila kumjua yeye Mungu mkuu wa kweli.
Mimi naamini zama zinabadilika na maagizo ya Mungu yanabadilika kama unaona kifo Cha mtoto mwenye ualbino huko Kagera kinakuuma kwanini vifo vya watoto wa Gaza havikuumi! Ni Mungu gani huyo basi ynayemuabudu?
 
Waambie ndugu zako waachane akili ya kuwafuta Jewish, nia kubwa ya Hamasa na Islamic militant ni destruction of Israel then replace with Islamic state
 
Who rejected two state solution
The Arab Higher Committee, the Arab League and other Arab leaders and governments rejected it on the basis that Arabs formed a two-thirds majority and owned a majority of the lands.

Two-state solution - Wikipedia​


wikipedia.org
 
Waambie ndugu zako waachane akili ya kuwafuta Jewish, nia kubwa ya Hamasa na Islamic militant ni destruction of Israel then replace with Islamic state
Huna ulijualo,nia hiyo ni ya Israel.
Nafuatilia huu mzozo toka 1946.
 
Unaleta story za Wikipedia!?
Humo si hata mimi nachapisha!?
Hiyo si kama Quora tu!?
Kamfuatilie Yasser Arafat kwanza halafu utajua nani alikataa two state solution na nani alianza expansion of territory.
 
 
Siku si nyingi mtasikia na ya Ayatollah. Tena bomu lake litawekwa kwenye Nzi.
 
Mtu kazi wako chali. Hezbollah ni kama wahuni wa mtaani bora hata Hamas walijitutumua
 
Bado tunajadili kuhusu Mazayuni?. Kwa namna Hezbollah wanavyofukunyuliwa kwenye mashimo utasema panya pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…