Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita hivyo.

Inaonekana Hezbollah hawatanii, Israel ana kazi kubwa ya kufanya hapo mashariki ya kati.

Hezbollah's leader Nasrallah:"If Cyprus opens its airports to Israeli warplanes, we will attack Cyprus too"Most important parts of his today's speech:- We have intel that the Israeli Air Force is training in Cyprus, to use its airports. We warn Cyprus, if it opens its airports to Israel during a potential war, we will treat it as a part of the war
  • Hezbollah's manpower 'far exceeds 100.000'- Invading the Galilee remains a definite possibility'
  • There will be a 2nd, 3rd, 4th and 5th episode of several Israeli cities recorded by the Hudhud drone. We have footage of Haifa, before Haifa, beyond Haifa, and beyond what is beyond Haifa.'
  • The enemy knows that there is not a single point within the Zionist entity which we cannot reach.
- In case of total war, every single ATGM, missile and drone will be fired at accurately pre-selected targets.
  • The enemy must also know that what awaits them in the Mediterranean Sea is not to be underestimated.'
  • The enemy must expect us to come by air, land and sea. In case of an imposed war on Lebanon, the Resistance will fight with no boundaries. We will abide by no equations, nor any laws. Let the Zionist enemy and their American masters hear this carefully.'
  • Nothing will stop us from carrying out our duty with regards to Gaza. The only solution to closing the fronts in Lebanon, Yemen, and Iraq is simple: Stop the war on Gaza and our Palestinian people.'

View: https://x.com/Megatron_ron/status/1803465749651976690
 
Kuna videos zimerekodiwa na Hezbollah kwa kutumia drones ambazo zinaonyesha maeneo ya Israel ndani kabisa hadi kwenye kambi za majeshi nk.

Hilo ndo limewakasirisha Israel ambao wameshapitisha plan ya “All out war” kwamba muda wowote ule wanaweza kuivamia Lebanon kuwashambulia Hezbollah.
 
hawa ndio watu wa kazi sasa, onyo kapewa mpaka Cyprus , nawapa tahadhari huyu Hezbollah sio Hamas huyu, hapa Israel atapata maumivu makali sana , ndio maana Biden ametuma mtu wake haraka sana Lebanon kuzungumza ma spika wa bunge wa lebanon , ambaye ni mshirika wa Hezbollah
 
american haingii?
IMG_1249.jpeg

Americans wameshaingia tayari, kama unavyowaona hapo na vipeperushi wameshaviandaa.
 
Israel aendelee kujipanga kupambana zaidi vita iliyoko mbele yake ni kubwa sana hope atashinda
Kwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
 
MAREKANI ANASEMAJE? ATASAIDIA KAMA ANAVYOSAIDIA GAZA?
 
Kwa sasa hakuna taifa duniani la kuweza kuishinda kivita Israel, ila ipo vita muda si mrefu inakuja ambapo Israel itapigana na sehemu kubwa ya dunia ikiongozwa na nchi za EU chini ya mtawala mmoja wa dunia atakayetokea kwenye mojawapo ya nchi za EU hapo israel itakula kipondo heavy
Mambo ya Injili haya mkongwe, sio?
 
Back
Top Bottom