Kama huna mgonjwa pale muhimbili unaweza kuunga mkono mgomo wa madaktari
Mkuki kwa nguruwe... kwa binadamu mchungu...!
Nampa pole Dr.Ulimboka na Mungu amsaidie apone haraka ila aachane na mgomo atumie njia nyingine hata maandamano ni sawa ila ukigoma kutibu ndugu zetu ujue hatuna pa kukimbilia ila tutakusemelea kwa Baba wa mbinguni na cha moto utakiona...!
wananchi wote askari na wanajeshi na usalama munaowaponda ndio hao hao watakao kuwa na jukumu la kuwalinda wakati wa machafuko au wakati wa utawala wa chama chochote kile,mukiwavisha sifa wasizostahiki na mukawachafua kwa wananchi,sijui nani atalinda amani yenu kwa ujumla,sifikirii kama kaka,mama,dada,baba,watoto,waj ukuu,zetu wanamazoezi tosha ya kulinda nchi yetu!
tufungue macho na akili zetu vizuri,tamaa za pesa au madaraka na kutafuta njia za mkato ili kufikia malengo ya tamaa zako,kama taifa tamaa hizo zitatupeleka kubaya!
Serikali imetumia kila ustaarabu, mpaka kukubali kuwawachiswa waziri, naibu, katibu mkuu. Kukutana nao, kuongea nao, kuwakubalia kuongeza mishahara, kuwakubalia kuongeza allowances, mpaka kuwaambia sasa tukayamalize kisheria mahakamani lakini msigome, hawasikii.
Hivi wewe, unajuwa watu wangapi wanateseka kwa migomo ya kijinga hii. Nini wanachokitaka zaidi? kama wanavyowatesa wenzao basi na wao watateseka hivyo hivyo, tena sio huyo tu, ni wote na wanaowatumia.
the tanzania government is behind this,sasa ndio moto wamewasha na mpaka kileleweke............................................
Wewe una ajenda ya SIRI ya kulipotosha Jukwaa, ndio kwanza una post mbili unaleta RADICAL STATEMENTS; andika vitu vyenye kuleta TIJA na sio UJINGApole Dr, hata libya ilianza hivihivi, serikali dhalimu ya watu dhaifu, hutumia mabavu badala ya hoja
PUMBAFFFFFFFFFFF
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.