Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

the tanzania government is behind this,sasa ndio moto wamewasha na mpaka kileleweke............................................
 
Kama huna mgonjwa pale muhimbili unaweza kuunga mkono mgomo wa madaktari

Mkuki kwa nguruwe... kwa binadamu mchungu...!

Nampa pole Dr.Ulimboka na Mungu amsaidie apone haraka ila aachane na mgomo atumie njia nyingine hata maandamano ni sawa ila ukigoma kutibu ndugu zetu ujue hatuna pa kukimbilia ila tutakusemelea kwa Baba wa mbinguni na cha moto utakiona...!

hujui usemalo.... hii ni step ya kuweka tanzania kuwa serious na profeshens
 
wananchi wote askari na wanajeshi na usalama munaowaponda ndio hao hao watakao kuwa na jukumu la kuwalinda wakati wa machafuko au wakati wa utawala wa chama chochote kile,mukiwavisha sifa wasizostahiki na mukawachafua kwa wananchi,sijui nani atalinda amani yenu kwa ujumla,sifikirii kama kaka,mama,dada,baba,watoto,waj ukuu,zetu wanamazoezi tosha ya kulinda nchi yetu!
tufungue macho na akili zetu vizuri,tamaa za pesa au madaraka na kutafuta njia za mkato ili kufikia malengo ya tamaa zako,kama taifa tamaa hizo zitatupeleka kubaya!

Tutajilinda weyewe kama tunavyofanya sasa hivi, kuna umuhimu gani wa nyie kuwepo wakati watu wanauawa hovyo hovyo tu, na mbunge wa Ilemela alijipiga mwenyewe? We are coming na next time tutawalinda hadi nyie.
 
Serikali imetumia kila ustaarabu, mpaka kukubali kuwawachiswa waziri, naibu, katibu mkuu. Kukutana nao, kuongea nao, kuwakubalia kuongeza mishahara, kuwakubalia kuongeza allowances, mpaka kuwaambia sasa tukayamalize kisheria mahakamani lakini msigome, hawasikii.

Hivi wewe, unajuwa watu wangapi wanateseka kwa migomo ya kijinga hii. Nini wanachokitaka zaidi? kama wanavyowatesa wenzao basi na wao watateseka hivyo hivyo, tena sio huyo tu, ni wote na wanaowatumia.

Sick Zomba again. Povu kila wakati
 
BornTown ahsante kwa taarifa yako nzuri, ukombozi wa haki zetu uko mikononi mwetu.
 
Last edited by a moderator:
serikali haiwezi kuwajibika bila kuwajibishwa, na tunaomba sana mtu anayeitwa Jakaya Mrisho Kikwete akae mbali sana na sisi, maana sasa hii ni vita, na huyo atakayekamatwa asipelekwe polisi, huwezi kumpelekea Nyani kesi ya Ngedere,ni peoples' power tu, hao watu washughulikiwe kwa mtindo wa CUF ngangari jino kwa jino, nataka sana kusikia kaulu ya mwenyekiti wangu msomi Lipumba juu ya hili, ni hakiiiiiiiiii tu hakuna kucheka na mbwa hawa, huyo pinda ajiuzulu mara moja pasipo kuchelewa na ashitakiwe mahakamani, nashukuru watu wa LHRC wamekuwa mstari wa mbele nataka kusikia media sasa ikifanyakazi ya kupambana na wakina kibonde, haya zoka anasemaje juu ya hili, pamoja na yote sasa david Mwamunyange tunataka uzalendo wako tuuone ,wanaua watoto wenu angekua ni ****** wangemfanyia haya? jamani sasa ndio kumekucha tuambieni lini tunatoka barabarani hatuwezi kuacha watoto wetu wauawe wao wanaenda kutembelea balozi zetu kwa kodi zetu wametugeuza samaki wanatula mbele na nyuma na wanawafanya hivyo hivyo watoto wetu tuliowazaa tena mbele ya macho yetu, na waume zetu na wake zetu pia, sisi tunawachekea, saa ya ukombozi ni sasa, nataka nisikie kaulu ya vyama vya vijana wanafiki UVCCM kama wanamshipa waongee, najua CUF na Chadema lazima wataongea jamani sisi tuko wengi kuliko wao, tuwahamishe mitaani mara moja
 
Napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa,
Hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote?
ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
 
the tanzania government is behind this,sasa ndio moto wamewasha na mpaka kileleweke............................................

Naomba tuwekee ushahidi hapa kuwa Serikali inahusika; hili ni jukwaa makini
 
Swali langu mi nahoji kwann madaktari wameudumie yeye wakati wamegoma? Mwacheni naye aonje machungu wanayopata wagonjwa hapo hapo Muhimbili kwa kuendeleza mgomo wao, Mkuki kwa Nguruwe sio?
 
Si dhani sana kama ni tamaa nafikiri kazi unayoithamini ni vema iwe na mazingira bora na maslahi bora tusipoangalia jinsi elimu ilivyoporomoka hata huduma za afya zitzkuwa ni ubabaishaji tu sidhani kama watanzania wangependa kuwa na huduma za afya zisizoridhisha nafikiri tunapaswa kutafakari jambo hili kwa kina badala ya kuhukumu viongozi wakiugua wanakwenda kutibiwa nje ya nchi huduma zisipoboreshwa nini hatima yake.
 
Kampe pole mama yako ambaye hata kansa ya shingo inayotibika wameshindwa kuigundua mapema kwa sababu tuu Jakaya kawauzia wazungu migodi
 
Kama madaktari wapo serious na mgomo basi wasimtibie huyu Dr Ulimboka
 
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!


Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php

PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!


utawala bora. utawala wa sheria.
 
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

We ndo wa kutangulia kuzimu, una msaada gani kwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom