Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kwamba hizi ni kura fake, zilikamatwa kituo gani, ziliripotiwa wapi kwa mujibu wa sheria za uchaguzi?, pungizeni ujinga wa maigizo.
Kwani ilikuwa ni lazima zikamatwe kwenye mkutano wa kuhamasisha maandamano?Haikuwezekana polisi kwenda kukamata kura hizo baada ya mkutano wa kuhamasisha maandamano kuisha na watu kutawanyika zao?Kwani ugumu ulikuwa wapi polisi kuwafuata akina Lissu na kuwaambia kuwa wasalimishe kura zao fake walizokuwa wanazionyesha kwenye mkutano?
Si mmefungua kesi ICC, basi wazipeleke hukoZiliripotiwa wapi?!Upo serious kwenye unachoandika?Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
My criticism covered the person and the content.
Mtu anasifia uchaguzi wa Tanzania kwa sababu uliruhusu mawakala kuingia kwenye kuhakiki uhesabu kura.
Wakati kilichotokea ni kinyume chake. Mawakala walikatazwa.
Sasa hapo utashangilia nini?
Sifa za kijinga na za uongo?
Eti ugumu ulikuwa wapi, hivi kipindi cha election alafu umkamate mpinzani mkuu aliyetoka hamasisha vurugu, huoni ugumu hapo, it's a sensitive matter, akili kumkichwa.
Halafu anayepaswa kushtaki kura ni kina lisu, sio kazi ya polisi kuwafuata kuwaambia wasalimishe, sio kila uovu polisi wanafuatilia, mengine wanajua lkn they choose to ignore.
Sasa kama mlalamikaji kaamua onyesha nyumbu na kuzichoma hizo kura fake, to hell with them.
Tanzania hatupigi kura kwa njia ya posts."Kila jimbo, karibu kila nchi yenye demokrasia ikiwemo Tanzania, na maeneo ambayo hata huwezi kuyafikiria, wana sheria za uangalizi hasa kwa kura zinazopigwa kwa njia ya posta," Rudy Guliani amewaambia wanahabari Alhamisi.
Hawa Mataga hawaeleweki.
Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.
Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.
Wachague moja.
Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?
Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.
If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.
![]()
New York Daily News Taunts Giuliani With A Gross New Nickname
The Trump lawyer's literal meltdown inspired the tabloid's mocking moniker.www.huffpost.com
Mada yetu haikuwa ni kwa nini akina Lissu hawakwenda kuripoti ICC.Mada yetu ilikuwa ni kwa nini akina Lissu hawakwenda kuripoti kwenye vyombo vyetu vya sheria.Tujikite kwenye mada yetu.Si mmefungua kesi ICC, basi wazipeleke huko
Hawa jamaa ni goigoi waliokata tamaa.Assume kuwa huyo jamaa ni kweli kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi hapa Tanzania,lakini inajulikana wazi kwa kila mtu na kwa waangalizi wa uchaguzi pia kuwa hapa TZ mawakala wa upinzani walikuwa wanatolewa nje,wanapigwa na kuwekwa ndani.Sasa kama kuna mtu kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi ilihali ni kinyume chake utafurahia au utamwona huyo mtu ni mbumbumbu?
Hatupeleki ushahidi mahali ambapo tunaona tutasikilizwa kama wapi?Hizo ni hisia tu ambazo mnazidi kuzieneza na kuaminishana. Mbona hampeleki ushahidi mahali ambapo mnaona mtasikilizwa? Mlivyo na kihere here, unafikiri kungekuwa na evidence mpaka saa hii mngezikalia? Acheni kulalamika bila sababu.
Hizo ni porojo tu, wewe unafikiri wangekuwa na ushahidi wasingempelekea yule dalali wao mkuu Amsterdam. Walivyo na kiherehere wangetoka nduki kupeleka ushahidi kwa wale wanaowaamini.Mawakala walikatazwa wapi, mbona nilipokuwa hawakufanywa kitu, Hai, mawakala wakuhesabu walitii wenyewe kwamba mbowe wao katemwa, nyinyi msijisahihishe makosa yenu, muendelee singizia kuonewa, mfutike kabisa kwenye ramani ya siasa. Ndio kinachofuata
Wewe unajua ninacho maanisha. Lkn kwa kifupi ni kwa wale mnaohisi ni miungu wenu kama akina Amsterdam et al.Hatupeleki ushahidi mahali ambapo tunaona tutasikilizwa kama wapi?
Ila wakisema kwamba Tanzania hakuna demokrasia, hiyo sio kejeli ni sawasawa kabisa?.Hivi ni kweli kuwa una upumbavu kiasi hiki cha kutojua kejeli?
Thibitisha kwamba hizi ni kura fake, zilikamatwa kituo gani, ziliripotiwa wapi kwa mujibu wa sheria za uchaguzi?, pungizeni ujinga wa maigizo.
Kejeli kubwa.Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
IHawa Mataga hawaeleweki.
Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.
Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.
Wachague moja.
Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?
Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.
If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.
![]()
New York Daily News Taunts Giuliani With A Gross New Nickname
The Trump lawyer's literal meltdown inspired the tabloid's mocking moniker.www.huffpost.com
Mkuu haya mambo wala sio miujiza kuweza kuyatabiri, ni kutuliza akili kidogo na kuwa na "independent thinking", bila kufuata mkumbo.Aisee wee jamaa naanza kukuogopa. Ulifungua uzi kuhusu korona, nilikupinga kimoyo moyo, lkn baadaye mambo yakawa kama ulivyosema. Inabidi niombe msamaha,
baadaye ukaleta issue ya uchaguzi, nayo naona inaenda vyema upande wako. Kweli wewe unatisha.
Ziliripotiwa wapi?!Upo serious kwenye unachoandika?Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
Kama walikamata hizi kura fake kwanini wazichane,yan wanaharibu ushahidi utakaokuja kuwasaidia wenyewe!Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!View attachment 1631173View attachment 1631174View attachment 1631175