Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Thibitisha kwamba hizi ni kura fake, zilikamatwa kituo gani, ziliripotiwa wapi kwa mujibu wa sheria za uchaguzi?, pungizeni ujinga wa maigizo.

Ziliripotiwa wapi?!Upo serious kwenye unachoandika?Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
 
Kwani ilikuwa ni lazima zikamatwe kwenye mkutano wa kuhamasisha maandamano?Haikuwezekana polisi kwenda kukamata kura hizo baada ya mkutano wa kuhamasisha maandamano kuisha na watu kutawanyika zao?Kwani ugumu ulikuwa wapi polisi kuwafuata akina Lissu na kuwaambia kuwa wasalimishe kura zao fake walizokuwa wanazionyesha kwenye mkutano?

Eti ugumu ulikuwa wapi, hivi kipindi cha election alafu umkamate mpinzani mkuu aliyetoka hamasisha vurugu, huoni ugumu hapo, it's a sensitive matter, akili kumkichwa.
Halafu anayepaswa kushtaki kura ni kina lisu, sio kazi ya polisi kuwafuata kuwaambia wasalimishe, sio kila uovu polisi wanafuatilia, mengine wanajua lkn they choose to ignore.
Sasa kama mlalamikaji kaamua onyesha nyumbu na kuzichoma hizo kura fake, to hell with them.
 
Ziliripotiwa wapi?!Upo serious kwenye unachoandika?Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
Si mmefungua kesi ICC, basi wazipeleke huko
 
My criticism covered the person and the content.

Mtu anasifia uchaguzi wa Tanzania kwa sababu uliruhusu mawakala kuingia kwenye kuhakiki uhesabu kura.

Wakati kilichotokea ni kinyume chake. Mawakala walikatazwa.

Sasa hapo utashangilia nini?

Sifa za kijinga na za uongo?

Huko kuzuiwa kwa mawakala kuingia kwenye vituo vya uchaguzi ni maneno tu. Hakuna hata mmoja aliyewahi kuonesha ushahidi mahali popote. Mnachokifanya ni kujaribu kueneza na kuaminishana hisia zenu. Hilo ni suala la imani tu. Mnaamini ilikuwa hivyo, bila ushahidi.
 
Eti ugumu ulikuwa wapi, hivi kipindi cha election alafu umkamate mpinzani mkuu aliyetoka hamasisha vurugu, huoni ugumu hapo, it's a sensitive matter, akili kumkichwa.
Halafu anayepaswa kushtaki kura ni kina lisu, sio kazi ya polisi kuwafuata kuwaambia wasalimishe, sio kila uovu polisi wanafuatilia, mengine wanajua lkn they choose to ignore.
Sasa kama mlalamikaji kaamua onyesha nyumbu na kuzichoma hizo kura fake, to hell with them.

Unaelewa tunajadili kitu gani?Tunachojadili hapa ni ile point yako kuwa akina Lissu waliprint kura fake ndiyo nikakuuliza kwa nini polisi hawajawakamata baada ya ya ule mkutano,halafu unajibu kuwa anaepaswa kuripoti hizo kura fake ni akina Lissu.Yaani mtuhumiwa akajiripoti mwenyewe?

Unavyodai kwamba kipindi cha uchaguzi ukimkamata mpinzani mkuu italeta vurugu ni sheria ipi inasema kuwa mpinzani mkuu akifanya kosa wakati wa uchaguzi mkuu asikamatwe?
 
"Kila jimbo, karibu kila nchi yenye demokrasia ikiwemo Tanzania, na maeneo ambayo hata huwezi kuyafikiria, wana sheria za uangalizi hasa kwa kura zinazopigwa kwa njia ya posta," Rudy Guliani amewaambia wanahabari Alhamisi.
Tanzania hatupigi kura kwa njia ya posts.
 
Hawa Mataga hawaeleweki.

Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.

Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.

Wachague moja.

Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?

Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.

If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.

Shida yako ni ile stereotyping and segregation. Unamuhukumu Giuliani kwa historia na hoja za zamani, lkn si kwa hoja iliyoko mbele yetu. Hoja ni udanganyifu ulitokea kwenye mailing ballots. Tuendelee kumfuatilia Giuliani kwa hilo. Tuachane na yaliyopita.
 
Hawa jamaa ni goigoi waliokata tamaa.Assume kuwa huyo jamaa ni kweli kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi hapa Tanzania,lakini inajulikana wazi kwa kila mtu na kwa waangalizi wa uchaguzi pia kuwa hapa TZ mawakala wa upinzani walikuwa wanatolewa nje,wanapigwa na kuwekwa ndani.Sasa kama kuna mtu kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi ilihali ni kinyume chake utafurahia au utamwona huyo mtu ni mbumbumbu?

Hizo ni hisia tu ambazo mnazidi kuzieneza na kuaminishana. Mbona hampeleki ushahidi mahali ambapo mnaona mtasikilizwa? Mlivyo na kihere here, unafikiri kungekuwa na evidence mpaka saa hii mngezikalia? Acheni kulalamika bila sababu.
 
Hatupeleki ushahidi mahali ambapo tunaona tutasikilizwa kama wapi?
 
Mawakala walikatazwa wapi, mbona nilipokuwa hawakufanywa kitu, Hai, mawakala wakuhesabu walitii wenyewe kwamba mbowe wao katemwa, nyinyi msijisahihishe makosa yenu, muendelee singizia kuonewa, mfutike kabisa kwenye ramani ya siasa. Ndio kinachofuata
Hizo ni porojo tu, wewe unafikiri wangekuwa na ushahidi wasingempelekea yule dalali wao mkuu Amsterdam. Walivyo na kiherehere wangetoka nduki kupeleka ushahidi kwa wale wanaowaamini.
 
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Kejeli kubwa.
Yaani kabisa unatetea hizo dharau?
Huyu Gil ndio anamdangamya Trump
 
Siasa imekutawala we mzee,giulian angeongea shit kuhusu uchaguzi wa Tanzania ungemsifia ila kwa vile kaongea kwa kusifia unamponda
Hawa Mataga hawaeleweki.

Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.

Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.

Wachague moja.

Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?

Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.

If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.

I
 
Aisee wee jamaa naanza kukuogopa. Ulifungua uzi kuhusu korona, nilikupinga kimoyo moyo, lkn baadaye mambo yakawa kama ulivyosema. Inabidi niombe msamaha,
baadaye ukaleta issue ya uchaguzi, nayo naona inaenda vyema upande wako. Kweli wewe unatisha.
Mkuu haya mambo wala sio miujiza kuweza kuyatabiri, ni kutuliza akili kidogo na kuwa na "independent thinking", bila kufuata mkumbo.

Ukiangalia sana wale wanaosema uchaguzi wa Tanzania ulichafuka wapo katika makundi makuu matatu
1)Wapinzani ambao miaka yote lazima wapinge na kutoa sababu hiyo hiyo ya wizi wa kura, hii sio Tanzania pekee ni dunia nzima
2)Wakenya ambao wao kinachowatesa ni wivu na "Sibling rivalry", lazima wafanye kila aina ya kuichafua Tanzania
3)Watanzania na watu wengine waliovutwa na kelele za wapinzani kudhulumiwa bila kufanya utafiti wao wa kina juu ya hizo kelele za wapinzani
 
Ziliripotiwa wapi?!Upo serious kwenye unachoandika?Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?

Hizi pia ni hisia tu.
 
Back
Top Bottom