TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Mpaka sasa wanasiasa na wanahabari wakosoaji wa utawala wa putin wenye majina makubwa wamekufa zaidi ya 18 je putin ataishi milele? Hii shida ya kutaka kuongoza watu wengi kwa kujiona wewe ndo sahihi ipo siku utakuwa mkimbizi wa nchi zao mama kama akina yahya jammeh
 

Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.

Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.

Alihamishiwa katika gereza la Arctic, linalochukuliwa kuwa moja ya magereza magumu zaidi, mwishoni mwa mwaka jana.

Mamlaka zimesema kuwa alianza kujisikia vibaya siku ya Ijumaa baada ya matembezi na alipoteza fahamu mara moja. Timu ya dharura ya matibabu ilikuja mara moja na kujaribu kumpatia matibabu bila mafanikio.

---


Russia's most significant opposition leader for the past decade, Alexei Navalny, has died in prison inside the Arctic Circle, the prison service said.

Seen as President Vladimir Putin's most vociferous critic, Navalny was serving a 19-year jail term for offences widely considered politically motivated.

He was moved to an Arctic penal colony, considered one of the toughest jails, late last year.

The prison service in the Yamalo-Nenets district said he had "felt unwell" after a walk on Friday.

He had "almost immediately lost consciousness", it said in a statement, adding that an emergency medical team had immediately been called and tried to resuscitate him but without success.

The causes of his death were being established, Tass news agency reported
Tangulia navalny hata wale waliokuweka kizuini na wao watakufa ni suala la muda
 
Kiti cha urais kina nini?

Iweje sualala kuuwa walione ni kama kukanyaga sisimizi?
Mamlaka raha sana maana ndani yake kuna vitu vingi vikiwemo vikubwa viwili kuwa na nguvu ya hela na nguvu ya mamlaka juu ya vingi vilivyo ndani ya mipaka anayotawala rais. Kwa hiyo ndo maana wengi huutaka kwa gharama yoyote hata ikibidi kuua wengine. Uamkumbuka Mobutu? aliwahi kuzini na wanawake mapacha wawili Zaire kwa lengo tu la kuona utamu wao wa kingono nao unafanana yaani una umapacha!!!
 
Mpaka sasa wanasiasa na wanahabari wakosoaji wa utawala wa putin wenye majina makubwa wamekufa zaidi ya 18 je putin ataishi milele? Hii shida ya kutaka kuongoza watu wengi kwa kujiona wewe ndo sahihi ipo siku utakuwa mkimbizi wa nchi zao mama kama akina yahya jammeh
Hamna marefu yasiyo na ncha Putin naye mwisho wake utafika tu. Si alikuwepo Stalin yupo wapi leo
 
Wenzake wengi wamerushwa kutoka madirisha ya ghorofa.
 
Kuna mdau hapo juu kauliza swali kwamba kiti cha urais kina nini? Swali hilo linajibika kwa kazi moja ya fasihi ya mchezo wa kuigiza wa macbeth kisa cha mfalme DUNCAN ya shakespeare nadhani. Au riwaya ya marcus de sade ya 120 days of sodomy.
 
Sifa kuu ya kiongozi wa Urusi huwa ni kuua na hii huwaletea laana fulani ndio maana hakuna relative au mtoto wa kiongozi wa Urusi utamuona kafanya lolote la maana duniani. Stalin mke wake alijiua kwa risasi, mtoto wake akajiua, mwanae mwingine alikimbilia Marekani kwenye maisha mazuri.

Tafuta relative yeyote wa kiongozi wa Urusi uone yuko wapi utashangaa. Putin mwenyewe kashaachana na mke wake muda na watoto huwezi muona nao.
 
Utawala wa Kremlin niwa kijinga sana sana sana
Kwenye hili sirikali ya Kremlin imenikera kwel kwel
Kenge kama huyu unamueka jela wa nini ale bure
Hii kenge muda sana ilitakiwa iwe ishatiwa shaba au ishatiwa kwenye bwawa la mamba
Huyu kenge hakutakiwa aachwe mpaka afe kwa khatma ya Mungu kupenda
Huyu kibaraka alitakiwa awahishwe mapema sana
Kala sana bure kala sana mali ya umma wakati kibaraka
Ahsante Mungu kwakuichukua hii kibaraka maana FSB kazi hii kwahakika iliwashinda
Huyu akakae moto wa chini kule karibu na sister shetilicious
 
Back
Top Bottom