TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Utawala wa Kremlin niwa kijinga sana sana sana
Kwenye hili sirikali ya Kremlin imenikera kwel kwel
Kenge kama huyu unamueka jela wa nini ale bure
Hii kenge muda sana ilitakiwa iwe ishatiwa shaba au ishatiwa kwenye bwawa la mamba
Huyu kenge hakutakiwa aachwe mpaka afe kwa khatma ya Mungu kupenda
Huyu kibaraka alitakiwa awahishwe mapema sana
Kala sana bure kala sana mali ya umma wakati kibaraka
Ahsante Mungu kwakuichukua hii kibaraka maana FSB kazi hii kwahakika iliwashinda
Huyu akakae moto wa chini kule karibu na sister shetilicious
Wangemuwahisha mapema kama Prighozin?
 
Ni hatari sana mtu mmoja anapojimilikisha nchi na kufikiri kwa niaba ya Raia wote kwamba anafikiri yeye ndicho sahihi
Najiuliza siku Mungu atakapo mfanya Putin kama alivyofanya kwa mwendazake ,linaloshindikana kwa mwanadamu kwa Mungu llinawezekana
 
Tunakumbushana maneno ya biden aliyoyatamka mwaka 2021, alimwambia putin atapata jibu la hatari ikiwa itatokezea navalny atafia gerezani

mwaka 2024 , navalny anafia gerezani
https://edition.cnn.com/2021/06/16/politics/alexey-navalny-biden-putin-geneva/index.html


nasubiria filamu iendelee season 2
 

Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.

Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.

Alihamishiwa katika gereza la Arctic, linalochukuliwa kuwa moja ya magereza magumu zaidi, mwishoni mwa mwaka jana.

Mamlaka zimesema kuwa alianza kujisikia vibaya siku ya Ijumaa baada ya matembezi na alipoteza fahamu mara moja. Timu ya dharura ya matibabu ilikuja mara moja na kujaribu kumpatia matibabu bila mafanikio.

---


Russia's most significant opposition leader for the past decade, Alexei Navalny, has died in prison inside the Arctic Circle, the prison service said.

Seen as President Vladimir Putin's most vociferous critic, Navalny was serving a 19-year jail term for offences widely considered politically motivated.

He was moved to an Arctic penal colony, considered one of the toughest jails, late last year.

The prison service in the Yamalo-Nenets district said he had "felt unwell" after a walk on Friday.

He had "almost immediately lost consciousness", it said in a statement, adding that an emergency medical team had immediately been called and tried to resuscitate him but without success.

The causes of his death were being established, Tass news agency reported
Kapigwa sumu huyo Putin ni mafia sana
 
Back
Top Bottom