permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hii comment inahusiana na chochote kilichotokea Tz!? Mathalni kilichompata Tundu Lissu, au/na kupotezaa Kwa Bwana Saanane!?Kiti cha urais kina nini?
Iweje sualala kuuwa walione ni kama kukanyaga sisimizi?
tena damu za wengi sanaDah..
Mikono ya Putin imejaa damu
Tangulia navalny hata wale waliokuweka kizuini na wao watakufa ni suala la muda
Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.
Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.
Alihamishiwa katika gereza la Arctic, linalochukuliwa kuwa moja ya magereza magumu zaidi, mwishoni mwa mwaka jana.
Mamlaka zimesema kuwa alianza kujisikia vibaya siku ya Ijumaa baada ya matembezi na alipoteza fahamu mara moja. Timu ya dharura ya matibabu ilikuja mara moja na kujaribu kumpatia matibabu bila mafanikio.
---
Russia's most significant opposition leader for the past decade, Alexei Navalny, has died in prison inside the Arctic Circle, the prison service said.
Seen as President Vladimir Putin's most vociferous critic, Navalny was serving a 19-year jail term for offences widely considered politically motivated.
He was moved to an Arctic penal colony, considered one of the toughest jails, late last year.
The prison service in the Yamalo-Nenets district said he had "felt unwell" after a walk on Friday.
He had "almost immediately lost consciousness", it said in a statement, adding that an emergency medical team had immediately been called and tried to resuscitate him but without success.
The causes of his death were being established, Tass news agency reported
Mamlaka raha sana maana ndani yake kuna vitu vingi vikiwemo vikubwa viwili kuwa na nguvu ya hela na nguvu ya mamlaka juu ya vingi vilivyo ndani ya mipaka anayotawala rais. Kwa hiyo ndo maana wengi huutaka kwa gharama yoyote hata ikibidi kuua wengine. Uamkumbuka Mobutu? aliwahi kuzini na wanawake mapacha wawili Zaire kwa lengo tu la kuona utamu wao wa kingono nao unafanana yaani una umapacha!!!Kiti cha urais kina nini?
Iweje sualala kuuwa walione ni kama kukanyaga sisimizi?
🤣🤣🤣🤣nimecheka sana jamanjAsante kwa taarifa, tuachane na hayo hivi naweza pata wapi makuli wa bei nafuu kwaajili ya bandari zangu?
Hamna marefu yasiyo na ncha Putin naye mwisho wake utafika tu. Si alikuwepo Stalin yupo wapi leoMpaka sasa wanasiasa na wanahabari wakosoaji wa utawala wa putin wenye majina makubwa wamekufa zaidi ya 18 je putin ataishi milele? Hii shida ya kutaka kuongoza watu wengi kwa kujiona wewe ndo sahihi ipo siku utakuwa mkimbizi wa nchi zao mama kama akina yahya jammeh
mambo ya novichokIle sumu aliyopewa na kwenda kutibiwa German inaonekana haikuisha..,sumu Ile ilikuwa silent and slow killer!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
hii P km naujuaa🤣Akifa Gaidi P Nita 😂😂😂
SIO Novichok!?Polonium 204 hiyo.
Kha zile crane na mawinchi kumbe huna ni mwendo wa makuli tu.....Asante kwa taarifa, tuachane na hayo hivi naweza pata wapi makuli wa bei nafuu kwaajili ya bandari zangu?
Muulize aliyekugawia bandari( SAMIA) a k.a kula kwa urefu wa kamba.Asante kwa taarifa, tuachane na hayo hivi naweza pata wapi makuli wa bei nafuu kwaajili ya bandari zangu?