TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Wangemuwahisha mapema kama Prighozin?
 
Huyu jamaa aliwahi kulalamika,chumba Cha gereza alichowekwa kimefungwa spika ambazo 24/7 ni anasikilizishwa hotuba za Putin

Kgb sio wa mchezo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Daaah aiseee
 
Ni hatari sana mtu mmoja anapojimilikisha nchi na kufikiri kwa niaba ya Raia wote kwamba anafikiri yeye ndicho sahihi
Najiuliza siku Mungu atakapo mfanya Putin kama alivyofanya kwa mwendazake ,linaloshindikana kwa mwanadamu kwa Mungu llinawezekana
 
Tunakumbushana maneno ya biden aliyoyatamka mwaka 2021, alimwambia putin atapata jibu la hatari ikiwa itatokezea navalny atafia gerezani

mwaka 2024 , navalny anafia gerezani
https://edition.cnn.com/2021/06/16/politics/alexey-navalny-biden-putin-geneva/index.html


nasubiria filamu iendelee season 2
 
Kapigwa sumu huyo Putin ni mafia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…