TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Gayden maneno matupu [emoji23][emoji16][emoji23]
Nakuhakikishia hana lolote atakalofanya yaani
Ukraine waliomba tu waekewe no fly zone tantalila zikaanza mpaka leo wenzao wanakula chape
 
Waswahili wanasema ‘sumu aionjwi’ mambo mengine yakujitakia BBC wana-documentary yake iPlayer wakati yupo Germany kwenye matibabu mpaka anapona.

Halafu baada ya kupona alivyompuuzi anaamua kurudi Russia (mkewe anamsihi wasirudi jamaa aelewi somo) alipotua Russia tu hata airport akutoka moja kwa moja jela.

Ujinga ni kununua ugomvi ambao uwezi shinda either you are wright or wrong.
 
Africa Kusini watamfungulia Kesi Putin ICJ
 
Alexis Navaly
Navalny kafa kwa mapenzi ya Mungu mwenyewe
Kremlin wajinga walikua wanachekea chekea tu kama wapuuzi
Kremlin hata hawajui kwa nini wana shirika kama FSB nk
Navalny kaonesha udhaifu wa PUT IN kwakweli PUT IN anamuachaje mtu kama Navalny siku zote hivyo
Kwa hili PUT IN anatakiwa ajiuzulu katukosea sana sababu alitakiwa amalizane na Navalny mapema sanaaaaaaaa
 
aisome kwenye Jalada la siri la masijala kuu ya Taifa Bwana Mdogo kutoka Zanzibar anaejaribu kukalia ncha ya Mkuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…