TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

Msiongee kwa hisia sana, watu wanaminywa kote ulimwenguni - madaraka ni matamu.Hata hapa kwetu watu wangapi wanapotea na maisha yanaendelea??And nobody cares - CCM ipo madarakani na imejimilikisha nchi - keki ya taifa inamegwa vizuri, mbona hatumbambani tukapata upinzani unaoeleweka tukagawa keki ya taifa??Lowasa kafa kila mtu anahuzunika LAKINI wakati anapitia kwenye kaa la moto - tuliendelea kula ugali na kuenjoy na wake zetu??TUSIJIFANYE tunauchungu - badala yake tuwe na KIASI na tutazame haya mambo kwa jicho la tatu...Hakuna serikali TAKATIFU
 
Binadamu ni wanafki sana kaka Trumb amepewa mikesi kibao toka aseme anagombea uraisi kwa Mara ya pili ila watu kwa unafki wanalaumu tu urusi kinachotokea saivi Hungary ni sawa na kuuchochea serikali iliyomadarakani ing'olewe kupitia mgongo wa EU
Kila nchi ina Sera zake ni kama Leo hii marekani ulete mambo ya ujamaa ni fasta tu utatolewa

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Trump hajaanza kuwa na kesi tangu aseme atagombea urais kwa mara ya pili, ameanza kuwa na kesi tangu mwaka 2011 zilizohusu chuo kikuu cha kitapeli cha Trump University ambacho kilifungwa na alilipa faini kubwa.

Mwaka 2018 Trump akiwa Rais Tayari mwanasheria wake Cohen alitiwa hatiani na baadaye akakiri walihusika kumlipa mwanamke mfanyabiashara wa ngono Stormy Daniels mamilioni ya pesa ambazo zilikuwa za uchaguzi ili katika uchaguzi wa mwaka 2016 kuficha uhusiano wa kimapenzi waliokuwa nao na Trump mambo ambayo ni makosa makubwa katika sheria za uchaguzi za Marekani.
 
Ameteseka sana navalny
Unayajua mateso?
Jamaa alikua anaponda tu kodi za wa Russia useme kateseka
Ndio hivyo sio ubinaadam na PUT IN ana huruma sana
Ila ilitakiwa mwili wake upitishwe mitaani kila mwananchi apate walau bakora kadhaa tena za kichwa ili afe
 
Lengo la kumfunga mpinzani wa kisiasa ni nini haswa?

Kumuua ni plans za watawala
Kwahio mnataka wapinzani wakikosea waachwe tu?
Yule jamaa wa wik leaks yuko wapi anavyoandamwa hamuoni
Navalny alitakiwa afyekwe mapema sanaaaaaaaa ila Kremlin na FSB walileta utoto kwenye mambo ya maana
 
Na ikumbukwe mwaka huu wa 2024 kuna uchaguzi mkuu huko Urusi. Kwa taarifa hii, maana yake hakuna atayejitokeza hadharani kumpinga huyu jamaa anayeitwa putin!

Jamaa ni mbabe kupitiliza. All in all, udikteta usikie tu kwa wenzako. Ni noma sana. Na bora mtawaliwe na Dikteta kamili, ila siyo Dikteta uchwara.
 
Kwahio mnataka wapinzani wakikosea waachwe tu?
Yule jamaa wa wik leaks yuko wapi anavyoandamwa hamuoni
Navalny alitakiwa afyekwe mapema sanaaaaaaaa ila Kremlin na FSB walileta utoto kwenye mambo ya maana
Marafiki wa chinjachinja mliojimilikisha nchi kama mabanda ya kuku lazima mseme ivo
 
Huku ndio kukosa akili kwenyewe sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa tu na Wapalestina wanavyokufa kwa mapenzi ya Mungu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…