Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

Ni mpumbavu huo uchawa wake isiwe chanzo cha kuwavunjia watu heshima zao kwa jamii..!!

Na hiyo ya mke wake naombea waungwana wafanye kweli ili akili imkae sawa.!!
Hata huyo mkewe anamchekea na uchizi wake, amemdharau sana kumuweka bond kisa ushabiki wa sifa sifa za kijinga.!!
Vyama vyenu wanawake na watu wa haki za binadamu walishakataza ushabiki wa namna hiyo.
Mke sio bidhaa.
 
Wivu ,

Kaomba msamaha shida ipo wapi?

Mimi binafsi mtu akiomba msamaha kwangu ugomvi unaisha hapo hapo
Unachokoza harafu unatarajia kuomba msamaha eti eeeh?? Tulia usimame kwa pilato ili ujifunze kwamba sio kira mtu ni kama baba yako jinga jinga ambaye badala ya kupiga nyeto ukafia chooni akamkanda mama yako sasa umezaliwa wewe kifaduro ........kira mara tu unaharisha harisha
 
KIPANYA AJITAFAKARI,

MTU ALIKOSEA

AKAGUNDUA ALIKUKOSEA

AKAITISHA VYOMBO VYA HABARI KWA GHARAMA ZAKE

AKAKUOMBA RADHI HADHARANI.

LAKINI WEWE BADO UMELISHIKILIA , HUU SIYO UBINADAMU NA WALA SIYO UCHA MUNGU.

NA KAMA ANA DINI YAKE BASI BORA AACHE KWENDA KUSWALI .

MUNGU ANAAGIZA BINADAMU KUSAMEHEANA .MTU KAKUOMBA RADHI MBELE YA WANDISHI WA HABARI.
USITOE MACHOZI TOA VYETI KAMA SISI TULIVYOHAKIKIWA .HAKI SAWA KWA WOTE.
 
Hii ni Vita ya Clouds FM ambapo pia Mmiliki wake ana Hisa Kubwa na Wasafi FM ya Diamond Platinumz dhidi ya Crown Media ya Hasimu mkubwa wa Diamond Platinumz Mtoto wa Mjini na Kariakoo Ali Kiba. Ali Kiba kawakomba sana Watangazaji wa both Clouds FM na Wasafi FM.

Na kinachotafutwa hasa hapa ni Kumfanya Ali Kiba ( ambaye ndiyo Boss wa Mwijaku ) aogope Media yake Kuchafuka na aachane na Mwijaku ili Wao ( Clouds Media Group na Wasafi Media Group ) washangilie Ushindi na Lengo Kuu liwe limefikiwa.

Chukua hii Mkuu.
Leo umetoa boko.
Clouds Media, Wasafi Media na Crown Media zote mentor ni mmoja.
 
KIPANYA AJITAFAKARI,

MTU ALIKOSEA

AKAGUNDUA ALIKUKOSEA

AKAITISHA VYOMBO VYA HABARI KWA GHARAMA ZAKE

AKAKUOMBA RADHI HADHARANI.

LAKINI WEWE BADO UMELISHIKILIA , HUU SIYO UBINADAMU NA WALA SIYO UCHA MUNGU.

NA KAMA ANA DINI YAKE BASI BORA AACHE KWENDA KUSWALI .

MUNGU ANAAGIZA BINADAMU KUSAMEHEANA .MTU KAKUOMBA RADHI MBELE YA WANDISHI WA HABARI.
wewe unaweza?
 
Back
Top Bottom