Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yashaga sioo🤣Hili bwabwa limezidi kiropoka
Vyama vyenu wanawake na watu wa haki za binadamu walishakataza ushabiki wa namna hiyo.Ni mpumbavu huo uchawa wake isiwe chanzo cha kuwavunjia watu heshima zao kwa jamii..!!
Na hiyo ya mke wake naombea waungwana wafanye kweli ili akili imkae sawa.!!
Hata huyo mkewe anamchekea na uchizi wake, amemdharau sana kumuweka bond kisa ushabiki wa sifa sifa za kijinga.!!
Maybe Kwa sababu hataki kushiriki ulaji wa matunda ya hiyo “Haramu Biashara.Kama kweli KP anapiga hizo mishe na anapata fedha mbona mzee wake anaishi a very humble life pale Kijitonyama karibu na shule ya sekondari??
Hilo jamaa ni jinga ilitakiwa hata mkewe amkanye mumewe anamdhalilisha.!!Vyama vyenu wanawake na watu wa haki za binadamu walishakataza ushabiki wa namna hiyo.
Mke sio bidhaa.
Unachokoza harafu unatarajia kuomba msamaha eti eeeh?? Tulia usimame kwa pilato ili ujifunze kwamba sio kira mtu ni kama baba yako jinga jinga ambaye badala ya kupiga nyeto ukafia chooni akamkanda mama yako sasa umezaliwa wewe kifaduro ........kira mara tu unaharisha harishaWivu ,
Kaomba msamaha shida ipo wapi?
Mimi binafsi mtu akiomba msamaha kwangu ugomvi unaisha hapo hapo
Jamaa ni lipuuzi sanaJana amedai simba ikifungwa na yanga atamtoa mkewe kwa Ally Kamwe sijui kwanini ameamua kumdhalilisha mkewe! Kama aliona yupo sawa si bora angemuweka Mama yake.
Shenzi sana lile jinga.
Mwijaku yuko Crown MediaHawa woote no wafanyakazi Clouds Boss wao ameshindwa kuwasuluhisha. Ila Burton kazidi bwana wacha yamkute.
USITOE MACHOZI TOA VYETI KAMA SISI TULIVYOHAKIKIWA .HAKI SAWA KWA WOTE.KIPANYA AJITAFAKARI,
MTU ALIKOSEA
AKAGUNDUA ALIKUKOSEA
AKAITISHA VYOMBO VYA HABARI KWA GHARAMA ZAKE
AKAKUOMBA RADHI HADHARANI.
LAKINI WEWE BADO UMELISHIKILIA , HUU SIYO UBINADAMU NA WALA SIYO UCHA MUNGU.
NA KAMA ANA DINI YAKE BASI BORA AACHE KWENDA KUSWALI .
MUNGU ANAAGIZA BINADAMU KUSAMEHEANA .MTU KAKUOMBA RADHI MBELE YA WANDISHI WA HABARI.
Leo umetoa boko.Hii ni Vita ya Clouds FM ambapo pia Mmiliki wake ana Hisa Kubwa na Wasafi FM ya Diamond Platinumz dhidi ya Crown Media ya Hasimu mkubwa wa Diamond Platinumz Mtoto wa Mjini na Kariakoo Ali Kiba. Ali Kiba kawakomba sana Watangazaji wa both Clouds FM na Wasafi FM.
Na kinachotafutwa hasa hapa ni Kumfanya Ali Kiba ( ambaye ndiyo Boss wa Mwijaku ) aogope Media yake Kuchafuka na aachane na Mwijaku ili Wao ( Clouds Media Group na Wasafi Media Group ) washangilie Ushindi na Lengo Kuu liwe limefikiwa.
Chukua hii Mkuu.
Punguza Uchafu Kichwani.Leo umetoa boko.
Clouds Media, Wasafi Media na Crown Media zote mentor ni mmoja.
Take it or leave it.Punguza Uchafu Kichwani.
Punguza Uchafu Kichwani.Take it or leave it.
Huwezi badilisha ukweli kwa porojo zako
Take it or leave it.Punguza Uchafu Kichwani.
wewe unaweza?KIPANYA AJITAFAKARI,
MTU ALIKOSEA
AKAGUNDUA ALIKUKOSEA
AKAITISHA VYOMBO VYA HABARI KWA GHARAMA ZAKE
AKAKUOMBA RADHI HADHARANI.
LAKINI WEWE BADO UMELISHIKILIA , HUU SIYO UBINADAMU NA WALA SIYO UCHA MUNGU.
NA KAMA ANA DINI YAKE BASI BORA AACHE KWENDA KUSWALI .
MUNGU ANAAGIZA BINADAMU KUSAMEHEANA .MTU KAKUOMBA RADHI MBELE YA WANDISHI WA HABARI.