Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Kwani huyo mcheza masumbwi ni nani mpaka Kipanya apigiwe simu..
Mbona ata Francis Cheka uwa anavaa hizo jezi..

Au kwa kuwa zimeshabihiana na sare za kile chama cha mboga mboga .
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mtu mweusi mwenye akili kama hii ni HASARA
 
Mbona mnachagulia awaze nini ?! Cartoon yenyewe haina nembo ya jumuia yoyote !! Mnakereka nini au rangi?!
MAKUBWA
 
Kwani wewe umeelewa nini kwenye hiyo katuni...????
 
Kama siasa ni mbaya sana mbona humshauri jiwe aache siasa,
 
Kwani kwenye hiyo katuni wewe kilichokukera ni kipi?
 
Nilivoelewa hio ni timu ya yanga ikijifua dhidi ya majimaji ya Songea,
 
Mjumbe wa nyumba kumi!!??? Mbona unampendelea sana??? Jiwe hafai hata kuwa kiongozi wa familia
Zipo jamii mkoloni hakuziendeleza kielimu ilikuwa ni hasara Kwa Kazi za matumizi ya akili,zaidi kwenye matumizi ya nguvu hasa viwandani Na mashambani.
 
haya ndio ubalozi wa USA umeyaona na kukemea. ila imekaa poa sana kwani inabeba yote yanayoendelea ktk chaguzi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…