Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

Ulichukua hatua gani mtaalam
Niliamua kuwa nikikaa kupiga story na ndugu naongea kwa vitisho huku namtazama kwa macho makali "yaani kama kuna kenge ananichezea aisee nikimjua atailaani siku aliyozaliwa", nilifanya hivyo karibia kwa ndugu wote eventually mambo yakakaa sawa hadi nikashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…