Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

Kipindi kile yalipofikia 1780, mbona nauli zilibakia pale pale tu?!!watu walilalamika kuwa mbona nauli hazishuki, wakajibiwa huo ni unafuu wa muda tu, hata sasa hilo ni ongezeko la muda, usijari.
 
Solo huria .

Mama amewwachia watu wapige hela.

Wanyonge hamna chenu tena. Mtalia na kusaga meno.
 
Ikifika December $1=Tzs 3,000 Lita moja 3,000
Hata shilingi ya Kenya tulichezea kwenye 20 na point kadhaa. Sasahivi imeshagota kwenye 1TZS = 21 point something KES. Nilitaka kununua kitu kwa 32,000KES ni sawa na 693,000 TZS hapo majuzi
 
Wabunge si waliliongelea jana hili; wanasema ile kampuni yetu ya kunua mafuta kwa wingi, kila ikitangaza tenda, kampuni zinazojitokeza ku-bid ni mbili tu. Hata wao wanashangaa; kwa nini kampuni mbili tu ndio zinajitokeza ku-bid; na sio zaidi?
 
Huku ni 2254 leo asubuhi
 
Labda baada ya wale waliokuwa wananyonya mafuta baada ya flow meter kugundulika!
 
Bei za Mafuta zitapanda kwani wenye Mafuta wameamua kupunguza uzalishaji ili Mafuta ipande.
 
Hivi wajua Tz haichimbi mafuta wala haina umiliki wa US Dollar?
Unataka kusemaje sasa?.

Kwamba ndo Maana Mafuta yanapanda kiholela?

Utakuwa hujui bei huko duniani Kati ya Feb na June.
 
Bei ya mafuta imepanda soko dunia leo ni 68,67 usd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…