Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:

a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%

Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?

NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.

Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.
 
Chura?
Duh
Ila hapo ni kuangalia
Uelewa 20%
Comment 35%
Muonekano 30%
Kujituma 15%

Mimi kwangu ni maelewano maana anawezakuwa na chura halafu kichwa ngumu
Komment umemanisha nin? Pia kujituma wap kitandan au wap ?
 
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezpa asilimia Kama ifutavyo:
b/ Rangi ikiwa nyeupe 15%

c/ Muonekano kwa ujumla 25%

d/Chura 35%

e/Mguu 5%

F/ Uzuri wa tabia 5%
g/ Umbo lake 5%
h/Sifa ya familia anayotoka 5%
I/ historical background Kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je wew unaweza ukagawanya vip hiz sifa za wanawake utakapo amua kuoa?
NB: Sio lazma awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo
Hapa wanawake weus mtanisamehe kwa kweli,ila Kama Kuna wakuwatetea anakaribishwa
Kwa akili hizi mtauwa sana watoto wa watu!!!

Mkishaowa wake zenu wa taifa wakaanza kuwaonyesha tabia zao mnaingia kisirani mnawauwa mnaishia jela huku mkiacha watoto wasiokuwa na wazazi baadae wanageuka PANYA ROAD!!!

Kua kwanza utajua ni nini maana ya mke.
 
Mkishaowa wake zenu wa taifa zima mnaingia kisirani mnawauwa mnaishia jela huku mkiacha watoto wasiokuwa na wazazi baadae wanageuka PANYA ROAD!!!

Kua kwanza utajua ni nini maana ya mke.
Ko unamanisha wazuri wasiolewe kisa kuogopa watu kujiua ?.
 
Chukueni hii vijana.

20221012_193657.jpg
 
Kumchukua mtu na historia yake yaani kila alichokibeba au kukipitia na kukiishi ukifanye chako na kujinyima Uhuru kisa yeye....Acha vile unaviona wazi.
#Tabia
 
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezpa asilimia Kama ifutavyo:
b/ Rangi ikiwa nyeupe 15%
c/ Muonekano kwa ujumla 25%
d/Chura 35%
e/Mguu 5%
F/ Uzuri wa tabia 5%
g/ Umbo lake 5%
h/Sifa ya familia anayotoka 5%
I/ historical background Kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je wew unaweza ukagawanya vip hiz sifa za wanawake utakapo amua kuoa?
NB: Sio lazma awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo
Hapa wanawake weus mtanisamehe kwa kweli,ila Kama Kuna wakuwatetea anakaribishwa
Kweli hii taasisi imengiliwa
 
Kwanza ndoa ni ishu nyengine bro unaweza kuwaza kumuoa Paulina gafla tu ukajikuta umemuoa lydia ns ivo vigezo vyako vyote usivitilie manani
Ukioa kwa kutokuzingatia hivyo vigezo huoni kuwa kwa baadae itachangia kuleta misunderstanding ndan ya ndoa ??
 
Mabrother wangu wa mtaani wale maplay boy walivyo kuja kuoa walio wanawake wenye muonekano wa kawaida kabisa, ila mademu walio wazalisha na kuwaacha ni pini za ukweli zilisumbua sana enzi zao.

Hata hivyo pamoja na kuoa still hizo pini zao wanazo gonna huko nje ni hatari demu mkali, tofauti yao na zamani show zao wanafanyia mbali.

Kupitia wao na kuwatizama wake zao kuna kitu nimejifunza hasa unapofanya maamuzi ya kutaka kuoa.
 
Hua wanaoa kukamilisha ratiba kwa kweli, maana hakuna formula

Umecheki mathalan tabia (dini, imani,mwenendo, etc), tabia yake wakati mna-date ni tofauti kabisa wakati mpo ndoani

Huko ndiyo makucha yaliyofichwa yanatokeza, maigizo yanawekwa kando

Hapo chura, uzuri, kucha, nk hazina maana/nafasi tena
 
Back
Top Bottom