Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Mabrother wangu wa mtaani wale maplay boy walivyo kuja kuoa walio wanawake wenye muonekano wa kawaida kabisa,ila mademu walio wazalisha na kuwaacha ni pini za ukweli zilisumbua sana enzi zao.

Hata hivyo pamoja na kuoa still hizo pini zao wanazo gonna huko nje ni hatari demu mkali, tofauti yao na zamani show zao wanafanyia mbali.

Kupitia wao na kuwatizama wake zao kuna kitu nimejifunza hasa unapofanya maamuzi ya kutaka kuoa.
Kip Sasa ulichojifunza mkuu ?
 
Ata uwoe mwenye ivo vigezo vyote ulivyoeka apo Misunderstanding lazima zitokee tu kwenye ndoa
Lakin znakuwa za kawaida na si za usalit wa ndoa,maana mwanaume atakuwa analizika kwa 100%
 
Walio consider mwanamke mwenye akili ya maisha, anayejua nini maana ya maisha (kupata na kukosa) na mwenye hofu ya Mungu. Wale jamaa sijui waliambiana mademu zao yani wa kawaida.
Fuatilia vizuri mkuu,kinachomtuliza mwanaume yeyote kweny ndoa yake Ni chura,yaan ukitaka usitaman kuzin nje ya ndoa yako oa mweny chura
 
Ko unamanisha wazuri wasiolewe kisa kuogopa watu kujiua ?.
Wewe kwa akili zako si umeona ndo wanaokufaa hata kama akili hawana wala heshima?

Chukua mmoja ukimuweza njoo unipige vibao nimekaa palee!!!
 
Hapa nakupa much failure mkuu,chura umeipa asilimia ndogo mno,na kumbuka chura ndo ugonjwa wa wanaume kutoka nje. waliooa wenye chura hawatok nje amin mkuu kwa 100%
Bado mdogo huwajui wanaume, mke wake anaweza akawa na Chura akenda kudate na binti wa kawaida,mf Posh Queen kapigwa chini na unaweza kuta aliyempiga chini hata ni wa kawaida hata Ebitokee hamfikii.

Mwanamme by nature haridhiki na mwanamke mmoja.
 
Wewe kwa akili zako si umeona ndo wanaokufaa hata kama akili hawana wala heshima?

Chukua mmoja ukimuweza njoo unipige vibao nimekaa palee!!!
Una akili ya woga Sana,na mwanaume hatakiw kuwa mwoga Kama wew
 
Bado mdogo huwajui wanaume, mke wake anaweza akawa na Chura akenda kudate na binti wa kawaida,mf Posh Queen kapigwa chini na unaweza kuta aliyempiga chini hata ni wa kawaida hata Ebitokee hamfikii.

Mwanamke by nature haridhiki na mwanamke mmoja.
Kuna mafail umeyachanganya katka ujumbe wako. Usahihishe
 
Uwezo wa kutii na kufuata maelekezo = 80%.

Umri 2%.

Uzuri 3%.

kuyajua na kuyatimiza majukumu yake 12%.

Historia ya familia anayotoka 1%.

Kujua kupika 0.5%.

Usafi 0.5%.

Dini 0.5%.

Elimu 0.5%.

Nimevujisha pepa lote.
Ukioa kwa kutumia vigezo hivyo kwa baadae ukishapata hela lazma uwe msumbufu kwa wake za watu
 
Back
Top Bottom