Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mbona umewaogopesha hutaki weusi. Sii ata matangazo ukiangalia unaona kabisa kuwa warembo wengi ni rangi nyeupe. Acha kabisa ukipapasa paja jeupe ni kama umepigwa shotiUsiogopeshe watu mkuu
Ishia hapi hapo bro. Bibi yangu mzaa baba alikua na chura mpaka alikua anaitwa bibi mzuri. Babu akaenda kuoa.mke wa pili anaenda kama anarudi mzee. Mwembamba kabisa no chura no what...kwaiyo we sema vngne tu. Wengi hutamani wasio navyo. Ukiwa na mwenye chura ukimuona aliepigwa pasi utamtamaniHapa nakupa much failure mkuu,chura umeipa asilimia ndogo mno,na kumbuka chura ndo ugonjwa wa wanaume kutoka nje. waliooa wenye chura hawatok nje amin mkuu kwa 100%
Kwa taarifa yako wanawake wengi wenye makalio akili zao zimeishia hapo hawanaga kingine wanachowaza hata wakisimama kwenye kioo kazi ni kushika makalio wakiamini wameula.Chukua mwanamke mwenye kujitambua na mwenye busara na sio umbo utakuja kujuta siku akiingia ndani na ukagundua umeingia mkenge, utakufa kabla ya siku zakoHata wew nahis unatamanig tu
Kwa hiyo sie wengine tusubiri tuu pembeni tujigegedee wake za watuKelele za chura hazimtishagi ng' ombe kunywa maji mkuu
Rafiki suala la uzuri na ubaya analijua aliyependa.......kwangu ni wa kawaidaKwa hyo mke wa Masanja Ni mbaya ??
Chura Ni ya mhim kwanza,mbwembwe zngne ndo zifuate,ndo maana hata Babu yako alianza kwanza kuoa mwenye chura. Heshim chura kijanaIshia hapi hapo bro. Bibi yangu mzaa baba alikua na chura mpaka alikua anaitwa bibi mzuri. Babu akaenda kuoa.mke wa pili anaenda kama anarudi mzee. Mwembamba kabisa no chura no what...kwaiyo we sema vngne tu. Wengi hutamani wasio navyo. Ukiwa na mwenye chura ukimuona aliepigwa pasi utamtamani
1-personal intelligence 75%Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:
a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?
NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.
Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.
Umekaa wapi?Wewe kwa akili zako si umeona ndo wanaokufaa hata kama akili hawana wala heshima?
Chukua mmoja ukimuweza njoo unipige vibao nimekaa palee!!!
Wewe ni mtoto mdogo kubishana na wewe nikupoteza muda!!!Una akili ya woga Sana,na mwanaume hatakiw kuwa mwoga Kama wew