The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Vitoto vimezaliwa 2002 vinakaa vinashauri watu namna ya kuchagua wanawake!!!Kweli hii taasisi imengiliwa
Najiuliza yeye mama yake hivyo alivyovifanya kipaumbele kwake alikuwa navyo mpaka baba yake akamzalisha kiumbe kinachowaza hovyo kiasi hiki?