Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kuna siri kubwa sana juu ya jinsi gani binadamu anakuwa obsessed na kumpenda mtu mpaka kumuoa na kwenye hiyo siri vigezo binafsi havihusiki kabisa.
Mfano kuna gorgeous mmoja black beauty flani hivi smart upstairs!. sawa na sifa zote hizo lakini mimi sijali kuhusu hizo sifa zake na hata sijui nimempendea nini!... I just love her for no reason na nikimuona sura yake na kuangalia macho yake ya brown marble nahisi kuwa hypnotized. Na ukingatia mimi sio pathetic kiasi cha "kupenda" mtu kiasi cha kujishangaa it's weird.
Sasa unaona mkuu, siku ukifikia hatua ya kuoa basi utajishangaa na kushuhudia unavyooa mtu usiyemtarajia tena bila kujua kwanini. Hizo sifa zote utazipotezea na kuzisahau.