Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Vitoto vimezaliwa 2002 vinakaa vinashauri watu namna ya kuchagua wanawake!!!

Najiuliza yeye mama yake hivyo alivyovifanya kipaumbele kwake alikuwa navyo mpaka baba yake akamzalisha kiumbe kinachowaza hovyo kiasi hiki?
Usijiulize maswali meng hivyo, tambua chura ndo kila kitu
 
Kuna mmoja alisema hawezi oa mke mwenye kufanya kazi mfano usiku eg nurse au police, siku napewa kadi ni nurse, bila hiyana nikamuuliza mzee vipi huyo nurse akajitetea weee, nikamuona huyu alikuwa na mihemko kuona kaka zake wanakosea kuchagua, unapochambua vigezo jitizame nawewe unavyo vyakuitwa Mme bora? Au kwasababu kiungo muhimu unacho na unauwezo wa kutafuta pesa unao? Msiwachoshe mabinti na wanawake.
 
Ok!!!
 
Mnaowa wanawake wenye vigezo vyenu mnavyotaka,badae yakiwashinda uko ndo mnakimbilia kuandika nyuzi,ooo mwanamke mmbaya,oooh anapenda pesa,ooh anatoka nje ya ndo,tafuta normal worman for big wonders...they will just see the family glory but never know the story
 
Normal womani na abnormal woman ndo yup mkuu?? Unataka kusema kila mwanamke mwenye chura sio normal?
 
Hakuna ukweli hapa!! Unamanisha Masanja hakufaham familia ya mke wake kabla hajamuoa ?
Ndiyo maana nakwambia bado hujakuwa wewe na inajidhihirisha kwa maandishi yako, anyway kwa kukusaidia huko mbeleni kama umeoa au bado ni hivi, familia upande wa mkeo wanaweza changia dumisha au haribu ndoa, kivipi?

Twende namna hii, chukulia umeoa mwanamke lakini inatokea mmekorofishana akamwambia mama yake au baba yake na mama/baba yake akakupigia simu bila kukusukiliza akaanza kukuporomoshea lawama na mikwara na wengine hadi matusi( ujue hamotodumu kwenye ndoa) .

Imetokea umegombana na mkeo bila kujali uzito wa chanzo cha ugomvi akarudi kwao, kisha mama au baba akampokea mkeo na kukaa nae kama hakuna kilichotokea na bila ya kukuita ili mjadili ( bro hili ni tatizo).

Familia zinazoamini katika ushirikina, kuna familia hata mdomo ucheze wataita mganga apige manyanga, watapiga ramli na kusema ndugu zako( wewe mme) wanamloga mkeo, au wewe unamloga au unataka mtoa kafara mkeo, hapo ndoa haitaweza dumu bro.

Ipo mifano mingi sana, familia nzr ya kuoa ni ile yenye ku' value ndoa bila kujali nani amekosea always baba au mama huwaita na kutaka kujenga ili kuipigania ndoa yenu, na mara nyingi hata kama mume amekosea familia zenye maadili hazitomnyooshea kidole mume.

Familia ambayo haiamini katika ushirikina na hata kama wanaamini siyo katika asilimia kubwa, ndy ni nzr kuoa, familia yenye kujali utu, familia yenye kuelewa kuwa maisha yana pande mbili ( kupata na kukosa).

Kumalizia, unaweza oa mwanamke mwenye sifa zote uzitakazo lkn uka fail kwenye back ground ya familia yao.
 
Hiyo H ndo ilitakiwa iwe ya kwanza na asilimia zake ziongezeke
 
Hujazungumzia chanzo Cha wanaume wengi kutafuta mchepuko yenye chura ikiwe mkewe Ni wa kawaida!! You Ni mwarobain sahihi wa tatzo hil ?
 
h) historical background kama aliwahi kuzaa
Hiki kigezo kizingatiwe kwa umakini mkubwa sana. Kama jibu ni ndio hii tunaita technical knockout , anakuwa ameondolewa kwenye mchuano🐒
 
Huku na chura anayo ?
 
Back
Top Bottom