Dini nimeipa 65 sababu ni kutaka mali yangu iwe salama
Mbali na usalama nataka mtu wa kuvumilia, anaejua kuwa kuna kukosa na atakayeendelea kuamini kuwa mambo yatakuwa sawa hata kama haionekani hivyo.
Mali 20%, maisha yamebadilika na hakuna tuzo ya mtesekaji bora hivyo naye akiwa na mali zake jumlisha na za kwangu basi maisha yatakuwa angalau kwa upande wetu (kigezo hili si lazima, ila akiwa nacho ni added advantage)
Uzuri 15, kisaikolojia uzuri au mvuto ni swala la kifikra tu halina athari kwangu… ni muhimu ila ni kwa 15% tu na si zaidi
Usinisingizie mkuu sijahamasisha mtu, nimetoa maoni yangu kama mtoa mada alivyotaka kama wewe umehamasika hilo ni swala lako binafsi
Nikisema nieleze sababu nitakuwa muongo, kila case inapaswa kuangiliwa kivyake maana wengine ni tamaa, wengine ni matokeo ya ugomvi na wake zao n.k haiwezekani kutoa sababu zitakazoeleza case zote