Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Jamaa nimshamba Sana plus kukosa experience ndio maana anaongea utumbo
Baada ya kukosa hoja umeamua kuvuka mipaka Sasa!! Nimeandika Uzi huu ili kuwanusuru nyiny wazinifu,mlionuka uzinifu mwil mzima
 
Baada ya kukosa hoja umeamua kuvuka mipaka Sasa!! Nimeandika Uzi huu ili kuwanusuru nyiny wazinifu,mlionuka uzinifu mwil mzima
Mkuu wala hakuna sehemu nimekutukana ila nimekwambia ukweli
 
Kama ingekuwa kweli unawala wala usingekuwa unaangalia hivyo vigezo kwa mwanamke unayetaka kumuoa
Nawala Sana mkuu,mpaka huwa nalinganisha Ni yupi hata Kama huna ham anaweza akakustimulate jibu napataga mwenye chura
 
Nijibu Kwanza swali langu mkuu,maana una pretend kitu ambacho hakina hata fact
Nasema hivi... Wewe ni kijana mtoto mtoto tena wale mnaotafutaga wanawake wenye kazi wachangie mahitaji ya maisha yenu
 
Uwezo wa kutii na kufuata maelekezo = 80%.

Umri 2%.

Uzuri 3%.

kuyajua na kuyatimiza majukumu yake 12%.

Historia ya familia anayotoka 1%.

Kujua kupika 0.5%.

Usafi 0.5%.

Dini 0.5%.

Elimu 0.5%.


Nimevujisha pepa lote.
Yaani awe na dini kwa asilimia 0.5 kisha wakati huo huo awe na uwezo wa kutii na kufuata maelekezo (halali) kwa asilimia kubwa hivyo? Mbona kama umechanganya au mimi ndio sijaelewa.
 
Back
Top Bottom