Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naweza mkuu kufatilia. Binti ninaetaka kumuoa nahakikisha anatokea mazingira niliyokulia au nayoyajua vyemaHiyo ishapitwa na wakat mkuu,kwa kizaz Cha Leo ambapo weng wanakutana tu hata chuon wanaoana,ukisema waangalie et familia anayotoka kiwe kigezo haiwezekani. Nenda na mabadiliko mkuu
Unaonekana bado kijana mdogo lakini ukikua uatajua kuwa sifa ya mke kuoa sio makalio makubwa. wenye makalio makubwa ni wa kutumia na kuacha .Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:
a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?
NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.
Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.
Hamasishen Watu waoe wake wenye chura tupunguze idadi ya kesi za kutalakiana mahakamaniUnaonekana bado kijana mdogo lakini ukikua uatajua kuwa sifa ya mke kuoa sio makalio makubwa. wenye makalio makubwa ni wa kutumia na kuacha .
Kikubwa muonekano uwe mzuri na tabia yake full stop.
b na f zinaendana, e na h pia zinaendana
Kuoa mwenye chura hakuwezi kupunguza kesi bali zitaongezeka.Hamasishen Watu waoe wake wenye chura tupunguze idadi ya kesi za kutalakiana mahakamani
Hizo 20% zlizobaki unazigawanyeje mkuu? Pia kumbuka ndoa Ni Safari ndefu,mwanamke akiwa mbaya wa sura ukiwa unamuoa kadil sku znavyozid kwenda ndo huwa anakuwa mbaya zaidi, na akiwa mzuri huwa anamantain na uzurUwezo wakutii nakufuata maelekezo aisee,nihatari Sana kuoa mwanamke argumentative,yaani unanijihisi haufai,kabisa nauanaume wako unafifia aisee,big up,80/%uwezo wakutii nakufuata maelekezo.
Unataka nioe mwenye chura Ili wewe ndo uwe kuwa kirusi kwenye ndoa yangu Bora nisioe mwenye chura end of the storyWew unataka baadae uje uwe msumbufu kwa wake wa wenzio
Ni Kama walivo motivational speakerKwa hiyo akili ya maisha ni tofauti na akili ya pesa?
Hapana Mkuu sijafanya matabaka nisieleweke vibayaAcha kutengeneza matabaka mkuu, ko maskin kwako sio mtu ?
Nmekuelewa mkuu, ingawa Kuna sehem umependelea mnoHapana Mkuu sijafanya matabaka nisieleweke vibaya
Nimeweka aslimia kama mtoa mada alivytaka
Kwangu ili nioe mwanamke basi ni lazima askimia hizo zivuke 70
Ambapo mtu akiwa na dini tayari ana 65%
Akiwa na uzur wa hata 6% hapo anakuwa na 71% tayari naoa
Suala la ukwasi ni added advantage tu ila si decisive factor
Nmekuelewa mkuu, ingawa Kuna sehem umependelea mno