Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujakua kwanza Chura yenyewe baada ya mwaka unamwona wa kawaida,baada ya hapo kinacho ongeza mvuto ni tabia.Oa mwenye chura ili hapo mbele ukipata pesa ucje anza kusumbua wake za watu
Huuwezi kuelewa kinacho shikilia ndoa sio chura ni tabia.Kinachoongeza mvuto Ni Tabia!!!!!🤪🤪🤪🤪,Kivip mkuu??
Much failure mkuu,paper sio lenyewe hili,Ni paper fake mkuuUwezo wa kutii na kufuata maelekezo = 80%.
Umri 2%.
Uzuri 3%.
kuyajua na kuyatimiza majukumu yake 12%.
Historia ya familia anayotoka 1%.
Kujua kupika 0.5%.
Usafi 0.5%.
Dini 0.5%.
Elimu 0.5%.
Nimevujisha pepa lote.
Mnakimbilia kusema kua uyaone tu wakat ukweli unajulikana, kila cku nikijipitishapitisha bar nakutaga wanaume wenye ndoa zao wanavizia mabint wenye chura na huwahonga had magari, mkuu oeni wenye chura acheni kuzungukaHuuwezi kuelewa kinacho shikilia ndoa sio chura ni tabia.
Kua uyaone bado mdogo sana.
Soma comments yangu ya kwanza utaelewa,kuna demu wa kuoa na demu wa kugonga, ukifanya vice versa umekwisha.Mnakimbilia kusema kua uyaone tu wakat ukweli unajulikana, kila cku nikijipitishapitisha bar nakutaga wanaume wenye ndoa zao wanavizia mabint wenye chura na huwahonga had magari, mkuu oeni wenye chura acheni kuzunguka
Hilo ni jibu....hakuna mchepuko mbaya hata siku moja ila ni kwanini hawaolewi kwa ndoa badala yake wanakua michepuko hadi kufaUnamanisha wazuri hawaolewi ?
Chura 25% umbo na sura 25% familia aliyotokea 50%Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:
a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?
NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.
Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.
Dah! Ukizaa mtoto wa kike mweusi uombee tuu awe na tako lah sivyo umemletea mtiha i mkubwa sana duniani🤣🤣🤣🤣Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:
a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%
Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?
NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.
Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.