Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

Mmmmhhh.....
Binafsi kwa mwanaume naangalia
Akili ya maisha 50%
Akili ya pesa 50%

Mengine hayo yanatafutwa, lkn kama hana akili za hayo mambo....
Kwishaaaaaaa habari yake....
Uko sahihi kwa upande wawanaume
 
Usiogopeshe watu mkuu
Wee mbona umewaogopesha hutaki weusi. Sii ata matangazo ukiangalia unaona kabisa kuwa warembo wengi ni rangi nyeupe. Acha kabisa ukipapasa paja jeupe ni kama umepigwa shoti
 
Hapa nakupa much failure mkuu,chura umeipa asilimia ndogo mno,na kumbuka chura ndo ugonjwa wa wanaume kutoka nje. waliooa wenye chura hawatok nje amin mkuu kwa 100%
Ishia hapi hapo bro. Bibi yangu mzaa baba alikua na chura mpaka alikua anaitwa bibi mzuri. Babu akaenda kuoa.mke wa pili anaenda kama anarudi mzee. Mwembamba kabisa no chura no what...kwaiyo we sema vngne tu. Wengi hutamani wasio navyo. Ukiwa na mwenye chura ukimuona aliepigwa pasi utamtamani
 
Hata wew nahis unatamanig tu
Kwa taarifa yako wanawake wengi wenye makalio akili zao zimeishia hapo hawanaga kingine wanachowaza hata wakisimama kwenye kioo kazi ni kushika makalio wakiamini wameula.Chukua mwanamke mwenye kujitambua na mwenye busara na sio umbo utakuja kujuta siku akiingia ndani na ukagundua umeingia mkenge, utakufa kabla ya siku zako
 
Kha! Kumbe humu tunadanganyana tuu. Watu kumbe bado mnampango wa kuoa🤔🤔🤔 pamoja na mada za kulalamika kuwa wanawake wa sasa ni breki pumbuz🤣🤣🤣🤣🤣
Kelele za chura hazimtishagi ng' ombe kunywa maji mkuu
 
Wee mbona umewaogopesha hutaki weusi. Sii ata matangazo ukiangalia unaona kabisa kuwa warembo wengi ni rangi nyeupe. Acha kabisa ukipapasa paja jeupe ni kama umepigwa shoti
Uko sahihi mkuu
 
Ishia hapi hapo bro. Bibi yangu mzaa baba alikua na chura mpaka alikua anaitwa bibi mzuri. Babu akaenda kuoa.mke wa pili anaenda kama anarudi mzee. Mwembamba kabisa no chura no what...kwaiyo we sema vngne tu. Wengi hutamani wasio navyo. Ukiwa na mwenye chura ukimuona aliepigwa pasi utamtamani
Chura Ni ya mhim kwanza,mbwembwe zngne ndo zifuate,ndo maana hata Babu yako alianza kwanza kuoa mwenye chura. Heshim chura kijana
 
Asikudanganye mtu asilimia kubwa inabebwa na mwanamke Malaya kitandani na akiwa mtulivu hadharani.

Hayo mengine ni mbwembe tu.
Some how uko sahihi
 
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo:

a) Rangi ikiwa nyeupe 15%
b) Muonekano kwa ujumla 25%
c) Chura 35%
d) Mguu 5%
e) Uzuri wa tabia 5%
f) Umbo lake 5%
g) Sifa ya familia anayotoka 5%
h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5%

Je, wewe unaweza ukagawanya vipi sifa hizi za wanawake utakapoamua kuoa?

NB: Siyo lazima awe nazo zote 100% ila angalau afikishe 75% ya asilimia hizo.

Hapa wanawake weusi mtanisamehe kwa kweli, ila kama kuna wa kuwatetea anakaribishwa.
1-personal intelligence 75%
2-25% Remained tutaenda hats Uturuki🙄🙄
 
Una akili ya woga Sana,na mwanaume hatakiw kuwa mwoga Kama wew
Wewe ni mtoto mdogo kubishana na wewe nikupoteza muda!!!

Narudia:KUA KWANZA UTAJUA NI NINI MAANA YA MKE!

I rest my case!!!
 
Back
Top Bottom