Sababu hizo hebu ziweke hazarani ili Watu wajifunze!! Yaan Watu Kama wew nawashangaa Sana kwa kuhamasisha vijana waoe wake ambao kwa baadae vijana hawa wakipata hela waanze kuwachukia wanawake hawa na kuoa Tena upya!!! Hivi unaweza ukanitajia kinachosababisha hata wastaafu baada ya kupata mafao huwa Ni kwannn huoa wake wengne na kusaliti wake zao??Ni kweli na nina sababu
MKuu,20 zilizobaki nikama ifuatavyo,10%uzuri wasura naumbo,5% kumjua Mungu nakutambua majukumu yake binafsi kama mwanamke aliyeolewa,5%familia aliyotokea(background yake) matters too.Hizo 20% zlizobaki unazigawanyeje mkuu? Pia kumbuka ndoa Ni Safari ndefu,mwanamke akiwa mbaya wa sura ukiwa unamuoa kadil sku znavyozid kwenda ndo huwa anakuwa mbaya zaidi, na akiwa mzuri huwa anamantain na uzur
Ndugu yangu na wewe unaanza kuniaibisha, unazungumzia Motivational speaker gani?Ni Kama walivo motivational speaker
Wana akili ya maisha na mipango, ila akili ya pesa Ni sifuri[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini nimeipa 65 sababu ni kutaka mali yangu iwe salamaSababu hizo hebu ziweke hazarani ili Watu wajifunze!!
Usinisingizie mkuu sijahamasisha mtu, nimetoa maoni yangu kama mtoa mada alivyotaka kama wewe umehamasika hilo ni swala lako binafsiYaan Watu Kama wew nawashangaa Sana kwa kuhamasisha vijana waoe wake ambao kwa baadae vijana hawa wakipata hela waanze kuwachukia wanawake hawa na kuoa Tena upya!!!
Nikisema nieleze sababu nitakuwa muongo, kila case inapaswa kuangiliwa kivyake maana wengine ni tamaa, wengine ni matokeo ya ugomvi na wake zao n.k haiwezekani kutoa sababu zitakazoeleza case zoteHivi unaweza ukanitajia kinachosababisha hata wastaafu baada ya kupata mafao huwa Ni kwannn huoa wake wengne na kusaliti wake zao??
Nimekuelewa mkuu!! Ingawa changamoto hazikosekani,hata kwa washika din wa sku hiziDini nimeipa 65 sababu ni kutaka mali yangu iwe salama
Mbali na usalama nataka mtu wa kuvumilia, anaejua kuwa kuna kukosa na atakayeendelea kuamini kuwa mambo yatakuwa sawa hata kama haionekani hivyo.
Mali 20%, maisha yamebadilika na hakuna tuzo ya mtesekaji bora hivyo naye akiwa na mali zake jumlisha na za kwangu basi maisha yatakuwa angalau kwa upande wetu (kigezo hili si lazima, ila akiwa nacho ni added advantage)
Uzuri 15, kisaikolojia uzuri au mvuto ni swala la kifikra tu halina athari kwangu… ni muhimu ila ni kwa 15% tu na si zaidi
Usinisingizie mkuu sijahamasisha mtu, nimetoa maoni yangu kama mtoa mada alivyotaka kama wewe umehamasika hilo ni swala lako binafsi
Nikisema nieleze sababu nitakuwa muongo, kila case inapaswa kuangiliwa kivyake maana wengine ni tamaa, wengine ni matokeo ya ugomvi na wake zao n.k haiwezekani kutoa sababu zitakazoeleza case zote
Hilo nalijua mkuuNimekuelewa mkuu!! Ingawa changamoto hazikosekani,hata kwa washika din wa sku hizi
Inawezekana sana mwanamke asiye nadini bado akaweza kukutii nakufuata maelekezo,hili nisuala lakimalezi tu huko nyumbani alikotoka,unaweza kupata mwanamke mwenyw uelewa wadini kichwani asiwe mtiifu bado MKuu.Yaani awe na dini kwa asilimia 0.5 kisha wakati huo huo awe na uwezo wa kutii na kufuata maelekezo (halali) kwa asilimia kubwa hivyo? Mbona kama umechanganya au mimi ndio sijaelewa.
Wadau washachangia huko nyuma kua,kinachomantain ndoa sio uzuri wasura wala shape,au muonekanao mzuri kwa ujumla bali ni tabia ,ambayo kimsingi ndio uwezo wakukutii ww mme nakufuata maelekezo kitendo ambacho kitakupa amani yamoyo,hizo 20 zilizobaki ndio zinaangukia ktk maswlaa mengine,lkn hakuna mwanaume anaejihisi mfalme ndani yanyumba yake kama mkewe anagea baadhi ya amri na maelekezo yake anaamini kama baba mwenye nyumba.Hizo 20% zlizobaki unazigawanyeje mkuu? Pia kumbuka ndoa Ni Safari ndefu,mwanamke akiwa mbaya wa sura ukiwa unamuoa kadil sku znavyozid kwenda ndo huwa anakuwa mbaya zaidi, na akiwa mzuri huwa anamantain na uzur