Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?

Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?

Mfano ilo bomba la mafuta kupelekwa Kenya, unadhani ningekuwa Mimi ningefanyaje? Ningeumia au kulia? As long as napata ninachokipata? Msimpe stress rais Dr Samia maana hata nigekua Mimi ningefanya ivyo ivyo tu.

Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?

Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
 
Afanye au asifanye habadili chochote.

Ameshaua sana watu, ambao hawezi kuwarudisha.

Sana sana ni kukukamua wewe kodi mpaka mavi, ili alipe wanajeshi wanaopigwa mvua mitaani kila maandamano yakitajwa.
 
Wazo lako na liheshimiwe, Hamna cha kufanya!
 
Ababaabababaaa prakatumbaaaaa! Alaji Alaji Alaji
 
Afanye au asifanye habadili chochote.

Ameshaua sana watu, ambao hawezi kuwarudisha.

Sana sana ni kukukamua wewe kodi mpaka mavi, ili alipe wanajeshi wanaopigwa mvua mitaani kila maandamano yakitajwa.
Yeah nadhani ivyo tu, uwezo wa kuchukua pesa yoyote ile anayo, hata ingekua Mimi najua unipendi alafu nimeshikilia kwenye makali, unadhani nitafanya maendeleo Gani?
 
Maendeleo wanajiletea watu wenyewe. Siyo yeye.

Angekuwa yeye ndio analeta maendeleo, asingekuwa anatoa pesa za watu mifukoni kwao.
 
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?

Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?

Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?

Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Swali kuntu Sana hili
 
downloadfile-1.jpg
 
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?

Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?

Mfano ilo bomba la mafuta kupelekwa Kenya, unadhani ningekuwa Mimi ningefanyaje? Ningeumia au kulia? As long as napata ninachokipata? Msimpe stress rais Dr Samia maana hata nigekua Mimi ningefanya ivyo ivyo tu.

Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?

Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Kwahiyo uliposikia "oil refinery " ukafikiri ni bomba la mafuta kama lile la kutoka Hoima- Uganda kwenda Chongoleani - Yanga?
Ila we genius!!!!!
 
Back
Top Bottom