Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?

Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?

Mfano ilo bomba la mafuta kupelekwa Kenya, unadhani ningekuwa Mimi ningefanyaje? Ningeumia au kulia? As long as napata ninachokipata? Msimpe stress rais Dr Samia maana hata nigekua Mimi ningefanya ivyo ivyo tu.

Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?

Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Samia ndiyo anaye hitaji maridhiano kwa sasa kwa kujaribu kujisafisha na damu aliyo mwaga kuua watu maelfu siyo salama kwake ...hivyo janja ya maridhiano ni kujaribu kutafuta upenyo
 
Hofu yake kubwa ni baada ya kuondoka madarakani ikitokea akaingia mtu atakayemfungulia kesi, akamkabidhi ICC, akamfilisi mali zake, akaipotezea familia yake au akampeleka exile huko mbeleni.
 
Hatuhitaji maridhiano na mtu, tunataka haki, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Who is she? Tanzania ni kubwa kuliko yeye, anaweza hata kudanja na mambo yakaenda. Infact we dont need her at all.
In short hana qualification za kuwa sehemu ya maridhiano, watu waliokufa october ni wengi....
 
Hatuhitaji maridhiano na mtu, tunataka haki, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Who is she? Tanzania ni kubwa kuliko yeye, anaweza hata kudanja na mambo yakaenda. Infact we dont need her at all.
Dogo una ghazab
 
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?

Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?

Mfano ilo bomba la mafuta kupelekwa Kenya, unadhani ningekuwa Mimi ningefanyaje? Ningeumia au kulia? As long as napata ninachokipata? Msimpe stress rais Dr Samia maana hata nigekua Mimi ningefanya ivyo ivyo tu.

Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?

Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Hata asipofanya. Hao aliowaua atawarudisha?
Kwake vyovyote atakavyofanya hakutabadili matokeo ya uovu wa uongozi wake
 
Si kasema Tanzania sio kisiwa ni sehemu ya Dunia. Ivyo tutakua km kuzimu hapa Tanzania itatengwa na Dunia. Kisha watanganyika tutajitetea kwa kurejesha nchi yetu pendwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom