Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Afanye au asifanye habadili chochote.Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?
Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?
Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?
Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Wazo lako na liheshimiwe, Hamna cha kufanya!Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?
Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?
Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?
Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Ababaabababaaa prakatumbaaaaa! Alaji Alaji AlajiNaomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?
Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?
Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?
Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Yeah nadhani ivyo tu, uwezo wa kuchukua pesa yoyote ile anayo, hata ingekua Mimi najua unipendi alafu nimeshikilia kwenye makali, unadhani nitafanya maendeleo Gani?Afanye au asifanye habadili chochote.
Ameshaua sana watu, ambao hawezi kuwarudisha.
Sana sana ni kukukamua wewe kodi mpaka mavi, ili alipe wanajeshi wanaopigwa mvua mitaani kila maandamano yakitajwa.
Maendeleo wanajiletea watu wenyewe. Siyo yeye.Yeah nadhani ivyo tu, uwezo wa kuchukua pesa yoyote ile anayo, hata ingekua Mimi najua unipendi alafu nimeshikilia kwenye makali, unadhani nitafanya maendeleo Gani?
Swali kuntu Sana hiliNaomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?
Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?
Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?
Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Doa la maisha kwenye jumba la kifahari na utajiri wa kutosha, nitajali nini brother?Doa la maisha, hakuna kitu kitafanyika kikamsafisha
Mahusiano na watu,nayo yanaumuhimu hata Simba mwituni ana Rafiki!Doa la maisha kwenye jumba la kifahari na utajiri wa kutosha, nitajali nini brother?
Duh labdaMahusiano na watu,nayo yanaumuhimu hata Simba mwituni ana Rafiki!
Psychological ana stress sana haujui tu, kwetu tu hiyo ni faraja toshaDoa la maisha kwenye jumba la kifahari na utajiri wa kutosha, nitajali nini brother?
Sidhani, yaani mfano Mimi legacy initafune nikiwa Seattle au copa cabana nikiwa na noti mchele? How Yani? Mfano niibe Hela nikimbilie Brazil au Dubai nile maisha useme nijutie pesa nikizokuibia?legacy! itamtafuna siku zote mwisho wa ubaya ni aibu!
Kwahiyo uliposikia "oil refinery " ukafikiri ni bomba la mafuta kama lile la kutoka Hoima- Uganda kwenda Chongoleani - Yanga?Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na mambo ya wananchi? Praise and worship team anayo na ni elite people why ajishugulishe na wachimba chumvi katavi?
Mfano mataifa ya ulaya yasipotoa msaada kwa nchi, then Ilo gap tunaliongeza kwenye Kodi na mzigo Kwa wananchi kipi kinatokea? Hao wananchi wakiishi maisha magumu si nitakua nimebakiza miaka mitatu au miwili niondoke? Then Kwa Sheria zetu akishaondoka hakuna wa kumuhoji?
Mfano ilo bomba la mafuta kupelekwa Kenya, unadhani ningekuwa Mimi ningefanyaje? Ningeumia au kulia? As long as napata ninachokipata? Msimpe stress rais Dr Samia maana hata nigekua Mimi ningefanya ivyo ivyo tu.
Utajiri anao anamiliki asilimia 90 ya maamuzi nchini kwanini Sasa apate headache Kwa ajili ya wananchi? Kwa sababu Gani Sasa? Mfano mjadala uliopo ni katiba, maridhiano n.k
Sasa wataalamu mfano asipofanya maridhiano na mtu yoyote au akiwachukua ACT akafanya nao maridhiano what next? Mimi akili yangu ndogo sioni kama kutakuwa na jambo lolote as long as mambo yake yanaenda, rejea mahojiano ya maxence mello alisema kuhusu wale watekaji "tutakuchukua tukupoteze then hao wananchi watapiga kelele siku chache tu then imeisha"" uoni kama ndio uhalisia?
Asipofanya maridhiano atakua kabakiza miaka michache amalize then aondoke akiwa na kibunda chake then fresh tu.
Tabula rasa hapa usijali.Kwahiyo uliposikia "oil refinery " ukafikiri ni bomba la mafuta kama lile la kutoka Hoima- Uganda kwenda Chongoleani - Yanga?
Ila we genius!!!!!
pesa sio kila kitu, inawezekana ukafanya yote hayo na bado ukakosa amaniSidhani, yaani mfano Mimi legacy initafune nikiwa Seattle au copa cabana nikiwa na noti mchele? How Yani? Mfano niibe Hela nikimbilie Brazil au Dubai nile maisha useme nijutie pesa nikizokuibia?