Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

Samia ndiyo anaye hitaji maridhiano kwa sasa kwa kujaribu kujisafisha na damu aliyo mwaga kuua watu maelfu siyo salama kwake ...hivyo janja ya maridhiano ni kujaribu kutafuta upenyo
 
Hofu yake kubwa ni baada ya kuondoka madarakani ikitokea akaingia mtu atakayemfungulia kesi, akamkabidhi ICC, akamfilisi mali zake, akaipotezea familia yake au akampeleka exile huko mbeleni.
 
Hatuhitaji maridhiano na mtu, tunataka haki, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Who is she? Tanzania ni kubwa kuliko yeye, anaweza hata kudanja na mambo yakaenda. Infact we dont need her at all.
In short hana qualification za kuwa sehemu ya maridhiano, watu waliokufa october ni wengi....
 
Hatuhitaji maridhiano na mtu, tunataka haki, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Who is she? Tanzania ni kubwa kuliko yeye, anaweza hata kudanja na mambo yakaenda. Infact we dont need her at all.
Dogo una ghazab
 
Hata asipofanya. Hao aliowaua atawarudisha?
Kwake vyovyote atakavyofanya hakutabadili matokeo ya uovu wa uongozi wake
 
Si kasema Tanzania sio kisiwa ni sehemu ya Dunia. Ivyo tutakua km kuzimu hapa Tanzania itatengwa na Dunia. Kisha watanganyika tutajitetea kwa kurejesha nchi yetu pendwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…