Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

Si kasema Tanzania sio kisiwa ni sehemu ya Dunia. Ivyo tutakua km kuzimu hapa Tanzania itatengwa na Dunia. Kisha watanganyika tutajitetea kwa kurejesha nchi yetu pendwa.
Kazi ni kipimo cha utu
akili ndio zitawaingia wale wanaosema siasa haziwahusu
 
Atakuwa kaamua kuendesha mambo kwa mtutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…