Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

Kupambana kwako, kuponeshwa na Wahindi, ndio jinsi alivyokusaidia kupitia uwezo aliowajaalia nyie wote. Ukijisaidia, naye atakusaidia.
 
unatupoteza sasa
kuna uchawi na miujiza. tofautisha
pia kuna hadith za kutunga
 
Mungu anaweza kukusaidia na binadamu anaweza kukusaidia. You must combine the two. Usimuombe Mungu pekee na usimwombe binadamu pekee.
Mungu akiridhia ndio binadamu anakuwa na mandate ya kukusaidia.
Kuna vitu Mungu hawezi kukusaidia?
 
Hasaidii watu wakiwa na uhitaji, ndo maana nikauliza ni kwa jinsi gani anatenda kazi?
 
maombi yako ndo yamefanya ukapata kukutana na hao wahindi wako kama sio Mungu usingekutana nao
Au wewe ulikua unataka uponyaji wa from nowhere
Hakukuwa na haja ya kuzunguka mahospitalini na kuuza mifugo na yeye yupo
 

Kum 8:17-18​

Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo. Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
 
Asante kwa mstari, je hawezi kunipa utajiri bila mimi kufanya kazi?

Maana nikifanya kazi nitapata utajiri regardless
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa. Ignorance is the source of suffering. In short Mungu alisha tenda..Mungu hatendi tena. Mungu ametuumba completely,jukumu letu ni kumanifest. Lakini kwa upumbavu wetu tunataka tuombe kila siku instead tunatakiwa tu Kumshukuru Mungu kila siku.
 
Ndio nimepata hii habari leo kutoka kwa Robert Heriel

Kumbe kazi yetu ni kupanga na kuishi sio kuomba tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…