Duh like seriously mnaimba nyimbo za misiba kujifaariji? [emoji706][emoji706]Huwa naimba nyimbo za Misiba, najikuta napata nguvu mpya, kuna Ile wimbo "Liko pumziko la Mioyo, amkaaaaa wee unayelala, unaugua kama ......"
Au ule mwingine "Mbinguni, Mbinguni, kuna mji mwema......" Au " ule mwingine wa NCHI NZURI YA METAMETA
What happened? mkuuKweli maombi husaidia, lakini Mkuu unadhani ni rahisi kuhimili maumivu ya kupoteza almost 80% of what you own kwa siku moja?
Mkuu cha muhimu jua tuu haupo peke yako unaepitia hayo, nikisema nieleze yangu labda utanionea huruma mara dufu ila tunakaza tuu coz ukishazaliwa mwanaume kazi yako ni kusolve matatizo in positive way basi sio kutiatia huruma kwasababu no body cares, hatima ya maisha yako unayo wewe ni kupambana tuu kuzifikia ndoto izo ups and downs kwenye utafutaji ni kawaida tuu. Mimi 2021 nilikua na biashara yangu nzuri tuu maisha yalikua safi ila ilikufa Mazima, namshukuru Mungu sikuruhusu mawazo yanitawale ningepotea, kwa sasa nafanya kazi za watu najitafuta kimtaji nianze mwanzo.Afadhali mambo yangekuwa hayaendi, ila yanaenda hatua moja mbele na kurudi 100 nyuma.
Kuhusu mahusiano, sina mtu ambaye ana nafasi ya kusumbua akili yangu.
na kupikaKuimba
Nikiwa kwenye hiyo mood ata sipiki ni kuimba tu na kufanya kazi ambazo sikutalajia kufanya kww wakat uhona kupika
Mbupu au?najibinya
Nimeshafikia hiyo hali.Kweli kabisa, ushawahi fikia hatua ukahisi kuendelea kuishi ni mateso tu?
Anzia hapo.. Jisamehe kwanza..Hata sitamani kuona sura yangu, i feel shame and guilty.
Humu hakuna introvert maana mda wote wapo mitandaoni waki socialize na watu hiyo sio mana ya introvertHumu wengi introvert