Kipigo Kikubwa Kwa Israel Mossad Spy HQ, Na ngome muhimu ya IDF Zimeshambuliwa

Kipigo Kikubwa Kwa Israel Mossad Spy HQ, Na ngome muhimu ya IDF Zimeshambuliwa

Lebabon hakukaliki, ni mtwango mwanzo mwisho.
 
Muislamu hlf una shabikia vita? Ivi unawajua hao mashia ww ? Unajua chanzo cha vita ?
Mbona hao masalafi wa Saudi Arabia walikuwa wanalindwa na makafiri kabisa UK na kwa sasa wanalindwa na makafiri yaliyopitiliza kwenye ushenzi USA?
 
Huyu bibi mbona anapost meme?? Source ndo zile za web za mchongo.
 
Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea kufuatia uvamizi wa ardhi wa mazayuni kusini mwa Lebanon. Jionee:

View: https://www.youtube.com/live/wWF92iaqD5c?si=dHFNoMnIs0jHkaB4

IMG_20241004_195003.jpg
 
kutoka.
Shia wanawapiga Suni hujui hilo kwani wanaovujisha siri kupeleka Israel huwajui ni akina nani Suni, kwa hio jichunguze
Siyo kila sunni anakubaliana na hayo mambo! Ni watawala wa nchi za kisunni wanatetea madaraka yao.

Falme zao zinalindwa na US. Wakienda kinyume naye wanapokwa madaraka na madaraka ni matamu.
 
Suni na Shia unawajua?
Mimi naweza kuingia msikiti wa kishia na naswali kama kawaida.

Nimeshakutana na shia wanaswali kwenye misikiti yetu kama kawaida na huwa tunataniana hata kwenye mambo ya dini na muda mwengine tunaweka mijadala ya hapa na pale.
 
Mbona hao masalafi wa Saudi Arabia walikuwa wanalindwa na makafiri kabisa UK na kwa sasa wanalindwa na makafiri yaliyopitiliza kwenye ushenzi USA?
Out of mada njoo kwenye mada
 
Hiyo ni live, inaendelea mpaka sasa. Ngumu sana wewe kumeza kwa sababu unatazama sana picha za hollywood. Umejazwa ujinga.
Hawa wanapotezwa na Western media na Israel media huwa hawasemi ukweli. Hata wakipigwa watasema wao ndio wamepiga 😄
 
Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea kufuatia uvamizi wa ardhi wa mazayuni kusini mwa Lebanon. Jionee:

View: https://www.youtube.com/live/wWF92iaqD5c?si=dHFNoMnIs0jHkaB4

Hii habari yako ninamashaka nayo.
Nimeitafuta sana nimeikosa.
Maana sasahivi propaganda ni nyingi.
Jana na juzi zilimbaaa video za askari wa Israel wanauwawa na vifaru kulipuka kumbe ni vita vya Syria.

Kuna video Moja ilisambaa Cha kifaru kinalipukiwa Cha Israel. Kumbe ni kifaru Cha urusi huko Ukraine.

Kuna nyingine video ilionyesha kuwa askari wa Israel wanalipukiwa na bomu barabarani kama zaidi ya 30 hivi kumbe ilikuwa ni Syria kundi la wakudish wanawalipua IS.

Nimefuatilia sana hata kwa pro Iran na pro Hezbollah na pro Palestina hii habali sijaziona .
Kuna huyu mmoja hapo sijaona kwake. Naona hii ndo inasambaa tuu.

View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1842509832567349692?t=XVABrPOAczIzdxWtP-wUmA&s=19
 
Back
Top Bottom