Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Suala si out of mada! Suala uache kuandika masuala ambayo huna elimu nayo!Out of mada njoo kwenye mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala si out of mada! Suala uache kuandika masuala ambayo huna elimu nayo!Out of mada njoo kwenye mada
Hamas, Hizibollah wamesha shindwa.Tatizo hadi sasa hakuna anayekubari kushindwa
kama utani WW3
Hii habari yako ninamashaka nayo.
Nimeitafuta sana nimeikosa.
Maana sasahivi propaganda ni nyingi.
Jana na juzi zilimbaaa video za askari wa Israel wanauwawa na vifaru kulipuka kumbe ni vita vya Syria.
Kuna video Moja ilisambaa Cha kifaru kinalipukiwa Cha Israel. Kumbe ni kifaru Cha urusi huko Ukraine.
Kuna nyingine video ilionyesha kuwa askari wa Israel wanalipukiwa na bomu barabarani kama zaidi ya 30 hivi kumbe ilikuwa ni Syria kundi la wakudish wanawalipua IS.
Nimefuatilia sana hata kwa pro Iran na pro Hezbollah na pro Palestina hii habali sijaziona .
Kuna huyu mmoja hapo sijaona kwake. Naona hii ndo inasambaa tuu.
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1842509832567349692?t=XVABrPOAczIzdxWtP-wUmA&s=19
Hilo ndiyo unalijuwa leo? Jionee:Basi mazayuni kwisha habari yao.
Israel keshamalizwa, Hezbolaa ndio kiboko yao.
Wapi hukoNyie mliua wapiganaji au Raia?
Dada 😂 😂 😂 😂 😂Hujuwi utafute wapi kupata habari za ukweli.
habari zote nimekupa na vyanzo. Mmejazwa ujinga kudhani habari ya ukweli ni mpaka watume mazayuni na mashoga zao.
Mmefikia mpaka mnaona makombora yanawabamiza mazayuni nyinyi mnasema fataki hizo.
Aliyewapa jina kondoo hajakosea.
Waislam tunasema wanaosema kristo ni Mungu hao ndiyo makafiri.Kafiri ni kitendo cha kumkataa KRISTO kama BWANA na mwokozi wa maisha ya watu
Watu wote waliomkataa KRISTO ni makafiri
Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea kufuatia uvamizi wa ardhi wa mazayuni kusini mwa Lebanon. Jionee:
View: https://www.youtube.com/live/wWF92iaqD5c?si=dHFNoMnIs0jHkaB4
Yaani wewe unipe habaribhizo mimi? Hebu jitekenye kidogo ili ucheke.Jana zimevuja habari, F35 zipatazo 50 zimeuliwa kwa kipigo cha juzi.
Zitafute, ukishindwa kuzipata, sema tutakuletea.
CNN wnafikiri vinginer:Jipe faraja kwa kibomu kidogo hicho, tena kimeangukia barabarani
Hii leo, makombora yanaelekea Haifa:Shia ot sun?
hawana hata moja, zote za mabasha zao. Kama ulikuwa huelewi.Yaani wewe unipe habaribhizo mimi? Hebu jitekenye kidogo ili ucheke.
Hata idadi ya F-35 ambazo Israel inamiliki hauzijui na kila zilipotunzwa hizo F-35 inalindwa kama yanavyolindwa maeneo ya raia na mengine ambayo hakuna makombora yanaweza kupenya ili kuyafikia.
Endelea kutazama tu vichekesho, leo hii:Vichekesho kama hivi tubonyeze wapi?
Hamas kashindwa wapi kafutwa ghaza au mateka wamekombolewa woteHamas, Hizibollah wamesha shindwa.
Ambaye hajapigwa bado ni wa wanamgambo wa Yemen tu.
Jionee kichapo wanachochezea vikosi vyva mazayuni viilivyopo Ghaza:Hamas, Hizibollah wamesha shindwa.
Ambaye hajapigwa bado ni wa wanamgambo wa Yemen tu.