sasa hezbola wiki moja tuu wameuliwa viongozi wote si bora hata hamas? hezbola nawafananisha na nyumbu..hao waje huku wapambane na watoto waliotoka mafunzo jktKwa kutumia ndege na makombora ya mabwana zao wa marekani kuuwa watoto, wanawake, wazee na wagonjwa? Hapo hakuna anaewashinda.
Hii ya uso kwa uso ndiyo msema kweli. Mwaka sasa vijana wa Ghaza wanawahenyesha, watawaweza wababe wao wa miaka yote Hezbollah?
Maawee.