Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.

Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic violence.

Statistically speaking, Iran executed at least one person a day in the first half of 2022. According to a recent report by human rights organization Amnesty International (AI), Iranian executioners have killed some 251 people since the beginning of the year. That's roughly twice as many as the same time last year, AI says.

In 2021, Iran was responsible for the second-highest per-capita rate of executions worldwide, with an estimated 314 individuals killed. The country was likely only surpassed by China. However, as the People's Republic handles executions as state secrets, independent verification is impossible.

In Iran, the "horrific spree" of executions has continued, says Diana Eltahawy, expert for the Middle East and North Africa at Amnesty International. On one day in July 2022 alone, three women from three separate prisons across the country were all put to death for murdering their husbands.
 
Kwani hamjuagi imani ni ugonjwa..?
Tena ugonjwa hatari sana!,katika Karne hii tuliyonayo imani ni moja ya tatizo la kijinga ambalo miaka ya mbeleni litasomwa na kutufanya tuonekane Kama vikaragosi mbele ya kizazi kijacho!.

It's like evolution,itachukua safari ndefu mno mpk binadamu aje aishi kwa usahihi kwa kila kitu!..
I will always say "hakuna shetani isipokuwa mashetani ni sisi wenyewe na hakuna malaika isipokuwa malaika ni sisi wenyewe".
 
Ina maana ukishanyongwa hapa hutahukumiwa tena mbinguni? Ni muda sasa inafaa hii adhabu ya kifo ipigwe marufuku kwani ni kumkufuru mwenyezi Mungu.

Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni mataifa ya hovyo ni hakuna mfano na huko ndipo shetani 😈 alikopiga kambi.
 
Ina maana ukishanyongwa hapa hutahukumiwa tena mbinguni? Ni muda sasa inafaa hii adhabu ya kifo ipigwe marufuku kwani ni kumkufuru mwenyezi Mungu.

Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni mataifa ya hovyo ni hakuna mfano na huko ndipo shetani [emoji48] alikopiga kambi.
shetan kapiga kambi Tehran hahahaaa
 
Hivi kwanini nchi za kiislamu zina sheria Kali sana? Ni swali tuu
 
Sio za kiislamu tu hata nchi za kawaida ambazo sio za kiislam Sheria ni Kali mfano nenda tu hapo china na cocaine una nyongwa halafu angalia nchi ambazo watuhumiwa hawanyongwi vijana nguvu kazi zinavyoharibika muda mwengne zinasaidia mfano kuna baadhi ya nchi za kiislam mchawi hukumu Yako ni kifo halafu huku kwetu vi wizard vinatamba na vinatupa shidaa balaa
 
Ustaadh Tongwe mtu akimuomba Allah hawezi kumpambania dhidi ya vi wizard?
 
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.

Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic violence.

Statistically speaking, Iran executed at least one person a day in the first half of 2022. According to a recent report by human rights organization Amnesty International (AI), Iranian executioners have killed some 251 people since the beginning of the year. That's roughly twice as many as the same time last year, AI says.

In 2021, Iran was responsible for the second-highest per-capita rate of executions worldwide, with an estimated 314 individuals killed. The country was likely only surpassed by China. However, as the People's Republic handles executions as state secrets, independent verification is impossible.

In Iran, the "horrific spree" of executions has continued, says Diana Eltahawy, expert for the Middle East and North Africa at Amnesty International. On one day in July 2022 alone, three women from three separate prisons across the country were all put to death for murdering their husbands.

Iran taifa la makafir chin ya kimvuli Cha uislam....Iko siku mungu atatoa hukumu dhidi Yao.....
 
Mbona mataifa yote ya uislamu, hizi ndio sound zao, kunyonga nyonga na kukata vichwa tena kwa tuhuma uchwara tu, ina maana na wote hao makafir???
 
Dini badala ya kuwa kimbilio la watu ili kupata amani ya mwili na roho dini imegeuka kuwa kizaa zaa kwa watu

"Religion is opium of the people"Karl marx
 
Ina maana ukishanyongwa hapa hutahukumiwa tena mbinguni? Ni muda sasa inafaa hii adhabu ya kifo ipigwe marufuku kwani ni kumkufuru mwenyezi Mungu.

Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni mataifa ya hovyo ni hakuna mfano na huko ndipo shetani [emoji48] alikopiga kambi.
Kwa hiyo mataifa ya waislam ndio yenye sheria ya kunyonga tu?
 
Mbona mataifa yote ya uislamu, hizi ndio sound zao, kunyonga nyonga na kukata vichwa tena kwa tuhuma uchwara tu, ina maana na wote hao makafir???
Nenda Marekani au china uuwe mtu alafu tuone utapewa hukumu gani.
 
Nyie mnaua kwa vitu vya kijinga, kuzaliwa kwenye mataifa ya kiislamu ni laana, kukatwa kichwa sio issue.
 
Kwenye nchi yako hakuna hukumu ya kifo?

Sio rahisi kwa nchi kutokua na hukumu ya kifo, ila kwa nchi inayoongozwa na uzombi wa kidini kuchinja watu kisa mihemko ya kidini ni ujinga.
 
Back
Top Bottom