Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

Mtu kuwa CCM sio ndio kiumbe wa CCM!. Binadamu wote ni viumbe wa Mungu, hakuna kiumbe wa chama chochote!.

Wana CCM tuko wa aina nyingi, kuna washabiki, wafuasi, wanachama, makada, wakereketwa, wafurukutwa na siku hizi kuna machawa!, mimi ni CCM wa Nyerere type CCM sio baba yangu, sio mama yangu!.

Hiki ni kipindi cha kujadili issues za kisiasa, kiuchumi na kijamii, na kwenye issues za kijamii, kwa vile mimi ni wakili, pia nitaelimisha umma kuhusu katiba, sheria na haki, sasa hapa what has u CCM wangu got to do with this program?

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=jpu7EpmZDAj6CBff
Composition
  1. Rais Samia- CCM
  2. Prof. Lipumba -CUF
  3. Askofu Mwamakula - Dini
  4. Wallece Mayunga- ADC
  5. Ali Omar Juma - Chauma
  6. Juma Duni - ACT Wazalendo
  7. Abdul Nondo- ACT Wazalendo
CCM ni mmoja tuu Rais Samia !.

Leo saa 3 usiku, angalia kipindi,
Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wasira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!
Lineup ni hii
  1. Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa",
  2. Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira,
  3. Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
  4. Dorothy Semu wa ACT Wazalendo,
  5. Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah,
  6. Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian
  7. Pascal Mayalla
CCM ni mmoja tuu Mzee Stephen Wasira!, sasa huo u CCM wangu unaoupigia kelele ni upi?
P

Hizo ni mbinu za ccm kukwepa kuwa na Katiba ya wananchi mpaka hapo uchaguzi utakapowadia 2025 ili wawatumie tena maDED kusimamia uchaguzi!!
Elimu mnayosema mnawapa wananchi, wangapi wana television huko vijijini hata wapate hiyo elimu yenu?Hata hao wenye tv wangapi wa naangalia hiyo channel ya ccm?
Acheni hayo mazingaombwe ya kutaka kuihalalisha haramu!
 
"Kwa Maslahi ya Taifa", kitakuwa kinarushwa hewani kila siku za Jumapili Saa: 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasri kupitia Channel Ten, ni kwa kuanzia tuu, baadae kipindi hiki pia kitarushwa na TBC, ITV, Star TV, na Azam TV, ili elimu hii ya Katiba, Sheria, Haki na Wajibu, iwafikie Watanzania wengi zaidi.
Jambo jema sana ila umekosea kuanzia kipindi kwenye TV ya chama cha siasa, kufanya hivyo kutawafanya wasiokubaliana na chama hicho kukosa kipindi au mfuluruzo wake, ni mara 10 ungeanzia Youtube kama huko kwingine kumeshindikana
 
Audience na viewership ya Watanzania ni ya ajabu sana!, ni watu wa mijini tuu na wenye smart phones, lakini vijijini kote kuanzia saa 1:00-4:00 wanaangalia mainstream TV, japo hakuna any official audience research na viewership research on local channels, TV inayoongoza ni TBC, ITV, Azam TV, Channel Ten na Star TV.

Japo Channel Ten is owned by CCM, contents za vipindi vyao sio CCM contents.
P
 
Hujanijibu swali langu nimeuliza kwanimi wewe kama host wa kipindi cha kwa maslahi ya taifa kwanini hujawaita mtu kama Lissu na Mnyika?

Umejibu swali moja badala ya mawili.
Kipindi ni kipya ndio kwanza kinaanza, nitaawaita wote in due time.
P
 
Audience na viewership ya Watanzania ni ya ajabu sana!, ni watu wa mijini tuu na wenye smart phones, lakini vijijini kote kuanzia saa 1:00-4:00 wanaangalia mainstream TV, japo hakuna any official audience research na viewership research on local channels, TV inayoongoza ni TBC, ITV, Azam TV, Channel Ten na Star TV.

Japo Channel Ten is owned by CCM, contents za vipindi vyao sio CCM contents.
P
You are contradicting yourself! Yaani unasema Tv channel ni ya ccm lakini content yake sio ya ccm!! Are you serious?
Please try to know your audience before you write such baloney.
 
You are contradicting yourself! Yaani unasema Tv channel ni ya ccm lakini content yake sio ya ccm!! Are you serious?
Please try to know your audience before you write such baloney.
Kuna vitu vya kuhadithiwa na kuna vitu vya mtu kuona mwenyewe, kuona ni kuamini!.

Japo Channel Ten is owned by CCM, lakini content sio ya CCM, inapokea independent contents from outside.
Hebu angalia hii lineup ya wazungumzaji kisha uniammbie wangapi kati ya hawa ni CCM?

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=jpu7EpmZDAj6CBff
Composition
  1. Rais Samia- CCM
  2. Prof. Lipumba -CUF
  3. Askofu Mwamakula - Dini
  4. Wallece Mayunga- ADC
  5. Ali Omar Juma - Chauma
  6. Juma Duni - ACT Wazalendo
  7. Abdul Nondo- ACT Wazalendo
CCM ni mmoja tuu Rais Samia !.

Kesho angalia kipindi,
Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wasira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!
Lineup ni hii
  1. Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa",
  2. Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira,
  3. Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
  4. Dorothy Semu wa ACT Wazalendo,
  5. Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah,
  6. Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian
  7. Pascal Mayalla
CCM ni mmoja tuu Mzee Stephen Wasira!.

P
 
Back
Top Bottom